Unajua MJ1, swali lako kiasi fulani liko too general,
nadhani unaweza usipate majibu unayotarajia kwa kiasi fulani,
au ukapata majibu mengi kutoka katika mitazamo tofauti ya swali lako,
Labda ningependa kufahamu kuwa hapa tunaangalia umbo la nje la mwanamke,
au tabia/hulka ya mwanamke kwa ujumla,
Binafsi naona kuna tofauti hapo, tukiwa tunaongelea umbo na sura ya nje ya mwanamke Vs tabia/hulka yake
MFANO: MWANAUME umeoa, kisha unasema kuwa unapenda mwanamke mnene, wakati mkeo ulie nae ni mwembamba,
sasa hapo sijui inakuwaje?
Labda MJ1, ningeomba ufafanuzi zaidi wa swali lako!!!!!!