Please Could You Be Honesty to Us?

Mie napenda weusi no mkorogo
Mlimazunzu tabia je? Ukiwa na mwanamke mweusi ndani ya nyumba kama mkeo utakuwa complete? inatosha? au kuna vinginevyo ambavyo ungeprefer huyo black beauty wako awe nacho??
 
Mwanamke anayependwa na babu:

1. Awe mzuri wa sura (babu ana kaugonjwa ka kupenda sura...makalio, miguu et el ni added advantage)

2. Awe muwazi na mkweli (Akiwa mwongo, babu naye ni mwongo sana, na mwongo anamjua mwongo mwenzie.....hatutawezana)

3. Asiwe afisa mpelelezi (kila saa vimeseji/kupigiwa simu kuulizwa uko wapi..... unarudi saa ngapi...unafanya nini agggrrrrr)

4.Awe na heshima (aheshimu maamuzi yangu, awaheshimu watu wengine, asiwe na dharau)

5. Awe msafi (wa mwili na wa baioloji yake na vyote viizungukayo baiolojia yake, ajue kujiremba na kuvaa vizuri)

6. Awe na kipato au mwelekeo wa kujua kutafuta kibao...(Babu ana aleji ya kupigwa mizinga)

7. Asiwe mvivu kitandani.... Napohitaji anipe, anapohitaji asiogope kuniambia.

Akiwa na vyooote hivi, babu anatulia naye. Akitoka nje itakuwa ni kwa ajili ya tamaa za kawaida za kimwili za wanaume na si vinginevyo.

Babu anarudi kitandani kumalizia usingizi wake na bibi yenu.
 
Kamanda... KWanza naomba nikushukuru from the central point of my heart kwamba ile support, i won!!

sasa hii message ya saa nane kasoro usku halafu unaomba tukupe mbinu za mchezo hii......... HAYA BHANA!!!

Kamanda you deserve it bana. Hongera

Hahahah hivi nimepost saa nane kasoro usiku? daaaaaaa..m.
 

ehh babu jaman...umenchekesha...akikudanganya we utamwongopea.....:dance::dance:!!!!
 
hahahaaaaaaaaa.....

Mimi wasiwasi wangu ni hizi PhD mbili, ya Lizzy na ya MJ1; kama zinakaribia kutuweka nusu uchi humu

sasa nikisema napenda awe anavuta ganja watanielewa kweli??

Si umeona eh?

Nikisema nampenda anayejua kuhudumia vizuri bar, na baada ya huduma ya bar awe pia anajua kuhudumia vizuri kitandani.

Mate raha ya ile kitu muifanye wote mkiwa mmetoa nishai kichwani LOL.... Na hapa ndipo wahudumu wa baa wanapokamataga usukani wa kukamata wanaume wa watu.
 
Typical creature going by the name 'man'.
 

Ni kweli bacha uko sahihi hili swali nimelifanya too general ah........konyagi mwitu bana saa ingine inabackfire.
hapo kwenye RED hapo ndipo swali lilipojikita mydia.
 
Una kifua cha chuma aisee....! Bravo, by the way I like the one who can tell me my weaknesses straight .....! Hata kama sijamfikisha anakotaka, let me know before she revenge....! Nitamuheshimu sana yule ambaye hayupo kushindana nami; mfano kama nimeteleza, basi naye ateleze...nikasirike, naye akasirike....! bali anikalishe chini na kutafuta tatizo ni nini.... Kwa hali kama hii, kila nitakapokuwa nalekea kufanya kitu, nafsi hunisuta na kujikuta nikisitisha mara moja.... this is a very strong lock that I can't unlock without her concern....! Hata akitongozwa na rafiki yangu wa karibu aseme mapema....! Asiwe na siri yoyote baina yangu na yeye...! Bali aelewe siri yetu baina yetu na wengine....! Hata kama mfano akiwa shuleni, na mwalimu wake akamtaka kimapenzi ili amuoneshe mtihani, aniambie... hata kama amepewa uwaziri kwa masharti fulani, lakini nipate taarifa mapema kupitia kwake na sio kungwineko....! Just to mention few...!
 

Kusema ukweli nilikumiss sana Rose...........hii lugha bado kidogo niisahau karibu tena na aksante kwa kunisaidia kunyoosha swali si unajua tena.uzee mpaka kwenye ubongo
 

siku ipite hivi hivi bila kunichokoza wala husikii raha,lol....
haya bana, umeshakula kiporo chako?
 

Kaka mkubwa katika vitu vinavyoweza kuni-put off kwa mwanamke ni hiyo namba 3 hapo.
 
hahahaaaaaaaaa.....

Mimi wasiwasi wangu ni hizi PhD mbili, ya Lizzy na ya MJ1; kama zinakaribia kutuweka nusu uchi humu

sasa nikisema napenda awe anavuta ganja watanielewa kweli??
....yamekua hayo tena Kamanda? Loh
Haijalishi kama wapenda awe amezukika haigombi si starehe yako kichaa wangu? hebu twambie nini kinachokufanya umdefine mwanamke kama wife material au kinachokufanya umwone wifi yangu kama mke mwema!
 

dah,kweli "Hodi" ya chooni haiitikiwi "karibu"................
 
Kweli kabisa kiongozi, ndio maana NYUKI hapigwi BUSU........................

na ndio maana mimi teamo TI-Mfalme Wa Amani NAJUA kwamba mimi ni mwerevu na mwenye akili,kwa sababu nafahamu kwamba HAKUNA NINACHOFAHAMU"
 
na ndio maana mimi teamo TI-Mfalme Wa Amani NAJUA kwamba mimi ni mwerevu na mwenye akili,kwa sababu nafahamu kwamba HAKUNA NINACHOFAHAMU"

Big Baza ODM, yaani mimi Babu wa wajukuu naamini katika zaburi: Mtu ni kitu gani hata umkumbuke, binadamu ni nani hata umwangalie? Wewe Mungu Bwana wetu, jinsi lilivyo tukufu Jina lako Duniani kote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…