Please Help a Brother out

I meant to add 'kasoro kwa matumizi ya condom tu'

Usimbeep, nitaenda kuungama kwa Kaizer!

Good Kaunga japo Asprin anajitahidi kunichafua

PetCash mi visa vyako vya ndoani huwa vinanirahisha maana unapresent vizuri

Sasa ukiona mkeo anahoji usalama wa hizo njoa za kisasa na ninmsomi baaaa kuwa mpole fuata ushauri wa Kongosho Kaunga na kidoogo Asprin kwa masuala ya imani
 
Last edited by a moderator:
Imani yangu ya kidini hainikubalii nifanye mapenzi na makaratasi. Naamini hutahoji uhalali wa imani yangu.

Sawa,lakini kama unafuata imani tu bila kuhoji yale yasiyoleta maana kwako utakua na tatizo!
 
Please kama mnaweza kuwa a bit detailed hata kwa PM mnaweza okoa mtanzania mmoja kuzaliwa bila plani mkasave your country.

tumia mzunguko na kondomu kwa pamoja.
Angalau ndio zina madhara nafuu nikilinganisha na hizo zingine.

Lakini hizo zingine, mie simo kwa kweli, na wala siwezi mshauri mtu wangu wa karibu atumie.


Cant swalow that. Miaka yangu 11 ya ndoa sijawahizidiwa kiasi hicho eti mpaka niombe msaada wa kondom. Usiifanye ngono ikutawale afu chunga tamaa mbaya!
 
Kaka mkubwa, kuna vyakula na normal hazards which tends to interfere with the cycle. Wewe fikiria nikipata ajali moja tu katika miaka miwili what will happen? Kwa nchi hii ya CCM nawaleaje wanangu?

Hii "kaka mkubwa" ndo nikuchukulie ndo yuleyule "kaka mdogo" wangu? Mbona hatustuani tukibadili dini? Khaa!
 
Sawa,lakini kama unafuata imani tu bila kuhoji yale yasiyoleta maana kwako utakua na tatizo!

Ndugu nakumbuka nlikusihi uheshimu imani yangu ambayo kwayo nliapa kuifuata kwa gharama yoyote ile.
 
Kaunga,ukijiaminisha peku ni bora kuliko kuvaa kondom utapata matokeo sawa na unachoamini.Na ukiamini kinyume chake ni hivyo pia!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu nakumbuka nlikusihi uheshimu imani yangu ambayo kwayo nliapa kuifuata kwa gharama yoyote ile.

Sawa,lakini kuheshimu hakukuzuii kuhoji na kujihoji kuhusu mambo yasiyoleta maana.Kuifuata kwa gharama yoyote hata kama umeingizwa chaka??Mh!!
 
Please kama mnaweza kuwa a bit detailed hata kwa PM mnaweza okoa mtanzania mmoja kuzaliwa bila plani mkasave your country.

Details gani sasa?
Anajua dates zake, u make love kwenye safe date; kama hamna uhakika na withdrawal inakushinda mnatumia condom.

Dangerous dates zinaambatana na thin n clear mucus (atakuwa anajua) ambayo husaidia sperm kuogelea towards the ovum.

Fafanua unataka details zipi!
 
Sawa,lakini kuheshimu hakukuzuii kuhoji na kujihoji kuhusu mambo yasiyoleta maana.Kuifuata kwa gharama yoyote hata kama umeingizwa chaka??Mh!!

What if kwake yanaleta maana? Nafikiri ni muhimu si tu kuheshimu imani ya mtu lakini pia na mtazamo wake!

Njoo chumbani, nakusubiri na kanga moko!
 

Mkuu Kaizer ushauri wa Kaunga na Kongosho mi naukubali san maana hizi mambo za pills na sindano aise zina mambo yake kwa hawa wenzetu maana kwa mtu wangu mimi alilalamika sana matumizi yake maana aliishia kuumwa kichwa mara kwa mara na kuongezeka mwili japo diet yake haikubadilika na mabadiliko mengi tuu ya mwili ambayo yalikuwa ghafla baada ya kuanza kutumia hizo pills na sindanoi
So naamini kwenye cycle na condom
 
Last edited by a moderator:
I seem to trust pills coz me and my wife have been using pills for more than 5 year mpk tulipoamua kupata mtoto, nakuambia ngoma ilinasa kwenye mzunguko wapili so unaweza kuimagine. Kuna uwezekan kwamba inamadhara but kwa upande wangu sijayaona hayo madhara. Pills ni nzuri kwani una uhakika na plannings zako na mke wangu hakuwahi kulalamika hivyo but it also depends n individuals.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…