Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,494
Nani kakuruhusu utumie bandiko langu bila kibali?
Forgive me sir! (nimepiga magoti huku nikitetemeka)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakuruhusu utumie bandiko langu bila kibali?
Imani yangu ya kidini hainikubalii nifanye mapenzi na makaratasi. Naamini hutahoji uhalali wa imani yangu.
tumia mzunguko na kondomu kwa pamoja.
Angalau ndio zina madhara nafuu nikilinganisha na hizo zingine.
Lakini hizo zingine, mie simo kwa kweli, na wala siwezi mshauri mtu wangu wa karibu atumie.
Mimi sijawahi tumia hayo mapills wala sindano; ingawa sijui kiundani madhara yake lakini my insticts inaniambia lazima zina madhara!
Miaka 5 niliyoishi kindoa, nimetumia natural ways tu na condom inapolazimika.
Kama dates zake ziko regular na anajijua vizuri of course kwa ushirikiano wako you should be fine.
Cant swalow that. Miaka yangu 11 ya ndoa sijawahizidiwa kiasi hicho eti mpaka niombe msaada wa kondom. Usiifanye ngono ikutawale afu chunga tamaa mbaya!
Kaka mkubwa, kuna vyakula na normal hazards which tends to interfere with the cycle. Wewe fikiria nikipata ajali moja tu katika miaka miwili what will happen? Kwa nchi hii ya CCM nawaleaje wanangu?
Mbona kibutton cha like kwako hakipo?
Sawa,lakini kama unafuata imani tu bila kuhoji yale yasiyoleta maana kwako utakua na tatizo!
Ndugu nakumbuka nlikusihi uheshimu imani yangu ambayo kwayo nliapa kuifuata kwa gharama yoyote ile.
Please kama mnaweza kuwa a bit detailed hata kwa PM mnaweza okoa mtanzania mmoja kuzaliwa bila plani mkasave your country.
Sawa,lakini kuheshimu hakukuzuii kuhoji na kujihoji kuhusu mambo yasiyoleta maana.Kuifuata kwa gharama yoyote hata kama umeingizwa chaka??Mh!!