Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,287
- 486
Habar JF-Doctors.
Mimi nnasumbuliwa na tatizo la Bega langu la Kushoto kuchomoka kwenye Maungio yake Mara kwa mara, na hupelekea Maumivu Makali sana yasiyo elezeka.
Historia yangu kwa Ufupi, Mwaka 1999-2001 nlikuwa nikifanya Mazoezi ya Gym Mgulani-Jitegemee. Nlipomaliza High School sikuweza kuendelea tena na Mazoezi kutokana na Gym za Mtaani kuwa Bei Juu. Ila nlibahatika kununua Vifaa vichache kwa ajili ya kupashia asubuhi na jion.
Sasa hivi nnasumbuliwa na hili tatizo la "Shoulder Disallocation" hii hutokea wakat nnanyoosha mkono kupeleka sideways ndipo tatizo hili hunitokea/haijawahi kunitokea nikiwa GYM au wakati nafanya Mazoezi.. Wakati mwingine nikilala Vibaya pia tatizo hili hutokea.
Tatizo hili lishanitokea zaidi ya Mara 6 hadi 8, na Mara zote nmekuwa nikirudishia Mwenyewe BEGA langumahala pake.
Je kuna tiba maalum naweza kupata na tatizo hili likatoweka kabisa!?
Je ninavyorudishia mwenyewe kuna madhara yoyote nnayoweza kujakunipata hapo baadae!?
Nakumbuka Ndg, yangu iliwahi kumapta hili tatizo wakati anacheza Mpira akijaribu kupiga tiktaka kisha akaangukia Mkono na kupelekea tatizo hilo. Ndugu zangu, niwajulishe kuwa Maumivu yake hayaelezeki, alilia kama Mtoto. Tukachukua ambulance hadi Muhimbili kisha physician akamtengua na kurudishia Mahala pake.
Huwa ananishanga mimi ninaporudishi mwenyewe.
Noambeni ushauri nifanye nn tatizo hili lisijirudie tena. Maumivu yake hayaelezeki Ndugu zangu. Ww fanya tu kusikia kwa Mwenzio na uombe isitokee kwako.
Asante.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums