Big up The Finest, I like your analysis. hapo kwenye red mmhhhhhhhhhhhhh! haya bwana. na sasa sijui alikuwa na maana gani kusema he is a bit older than her, alitaka boyfriend younger than her? au ni babu? mi sijaelewa kwa kweli, maybe you can help
Kwa ambao hajamuelewa alianza uhusiano na huyu jamaa akiwa na mimba ya mtu mwingine na baada ya kuzaa ambapo muda wote jamaa anahudumia wakazaa tena mtoto na huyu jamaa.Mi naona ni muda muafaka kuweka swala wazi kwa ndugu wote.