Please help me am confused

Please help me am confused

Big up The Finest, I like your analysis. hapo kwenye red mmhhhhhhhhhhhhh! haya bwana. na sasa sijui alikuwa na maana gani kusema he is a bit older than her, alitaka boyfriend younger than her? au ni babu? mi sijaelewa kwa kweli, maybe you can help

Mimi mwenyewe i am still remaining mum on the issue she needs to open up zaidi kusudi tuelewe
 
Sasa si uwaambie tu! unaogopa kitu gani mamii? wewe wamwagie ukweli tu.
 
Kwa ambao hajamuelewa alianza uhusiano na huyu jamaa akiwa na mimba ya mtu mwingine na baada ya kuzaa ambapo muda wote jamaa anahudumia wakazaa tena mtoto na huyu jamaa.Mi naona ni muda muafaka kuweka swala wazi kwa ndugu wote.
 
Back
Top Bottom