pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 880
https://www.paypal.com/fi/webapps/mpp/home
Fungua hiyo link halafu jiunge. Kinachohitajika ni kubuni username na password. Halafu baadae itabidi u verify card yako. Uliza baadae kama ukipata shida.
Huhitaji kuweka hizo pesa kwenye account ya paypal. Pesa hizo zinatakiwa ziwepo kwenye ile card ambayo utakuwa unatumia. Paypal watakuwa wanatoa pesa hapo.
na ukiwa na hela kwenye paypal account yako unaweza kuzituma kwenye bank account yako kama crdb au nbc account yako bila matatizo???@dingiswayo
i just signed up for payza halafu siioni payza naona paypal tu katika jinsi ya kulipia!!kwani ukiwa na account yenye mastercard cba(central bank of africa )pia itakuwa na matatizo ya withdrawal ukitumia paypal au??
https://www.paypal.com/fi/webapps/mpp/home
Fungua hiyo link halafu jiunge. Kinachohitajika ni kubuni username na password. Halafu baadae itabidi u verify card yako. Uliza baadae kama ukipata shida.
Kwa kawaida kulipa kwa paypal ni salama zaidi kwa vile kuna uwezekano mkubwa wa kurudishiwa pesa zako kama hukupata huduma uliyolipia. Hata hivyo unatakiwa kuwa muangalifu na malipo ya mtandaoni...tumia busara yako kutambua kuwa muuzaji huyo ni wa kweli au la.Kaka hivi kufungua hii pay pal account ukimlipa mtu ambaye yuko nje ya Tanzania ni salama? Hawezi kukukana kwamba hujamlipa? Mimi kuna mzungu yuko UK anataka nimlipe advance payment through paypal account yake sasa ninakuwa na wasi wasi asije nitapeli, naomba msaada kaka
asante
halafu jamani mimi napata shida kuona sehemu ukitaka kupost status yako unaenda wapi maana nimetafuta ila sioni sehemu ya kupost statu yako!!!
:nono: