Please help me on how to open a paypal acount

Please help me on how to open a paypal acount

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,161
Reaction score
880
SALAAM!. samahani wakuu kwa wanaojua jinsi ya kufungua paypal acount plz nina acount crdb na akiba sasa nataka kuopen pay pal acount ili niweze kununua bidhaa online thanx
 
https://www.paypal.com/fi/webapps/mpp/home

Fungua hiyo link halafu jiunge. Kinachohitajika ni kubuni username na password. Halafu baadae itabidi u verify card yako. Uliza baadae kama ukipata shida.

Thanx mkuu sasa huwa ninatabia ya kuwork online nina kama dola 1353 sasa wananiambia niopen paypal acount ili niweze kuhamisha hizo senti na pili nataka kununua bidhaa online
 
Huhitaji kuweka hizo pesa kwenye account ya paypal. Pesa hizo zinatakiwa ziwepo kwenye ile card ambayo utakuwa unatumia. Paypal watakuwa wanatoa pesa hapo.
 
Huhitaji kuweka hizo pesa kwenye account ya paypal. Pesa hizo zinatakiwa ziwepo kwenye ile card ambayo utakuwa unatumia. Paypal watakuwa wanatoa pesa hapo.

Thanx mkuu ngoja nijisajili kama nikikwama nitakujulisha thanx
 
na ukiwa na hela kwenye paypal account yako unaweza kuzituma kwenye bank account yako kama crdb au nbc account yako bila matatizo???@dingiswayo
 
na ukiwa na hela kwenye paypal account yako unaweza kuzituma kwenye bank account yako kama crdb au nbc account yako bila matatizo???@dingiswayo

Tatizo la paypal ni kuwa kuna baadhi ya nchi wamezilimit huduma hiyo. Mfano TZ tunaweza kutuma pesa nje au kuhamisha kwenda kwenye acc nyingine ya nje, ila si kutoka huko kuja bank zetu. Hivyo nakushauri zungumza na hao wanaokulipa kama wanasupport matumizi ya PAYZA hii yenyewe ni worldwide.
 
i just signed up for payza halafu siioni payza naona paypal tu katika jinsi ya kulipia!!kwani ukiwa na account yenye mastercard cba(central bank of africa )pia itakuwa na matatizo ya withdrawal ukitumia paypal au??
 
Mimi ni verified user wa paypal, na nilikuwa na tatizo kama lako. kwa CRDB, nenda ka'activate card yako kwanza for online shopping(e-card banking service). na pia ufungue internet banking account. ambapo kupitia internet banking account utapata 4 digits za kuweza ku'verify account yako. ila hakikisha una kiasi cha zaidi ya 3500 kwenye akaunti yako.
ni tovuti gan unaofanya nao kazi? naomba pia nijib via barakajason@gmail.com
 
i just signed up for payza halafu siioni payza naona paypal tu katika jinsi ya kulipia!!kwani ukiwa na account yenye mastercard cba(central bank of africa )pia itakuwa na matatizo ya withdrawal ukitumia paypal au??

Kaka tatizo la paypal ni zaidi ya hapo. Mimi ni mtumiaji mzuri tu wa paypal, lakini hakuna uwezekano wa sisi kupokea pesa kupitia paypal. Jamaa wanaprogram zinazocheki IP address ni ya nchi gani. Kama nchi haiko supported hauwezi kupata hiyo option. Hata kama utakwenda kufungua akaunti hiyo Kenya( wao wako supported), Siku ukithubutu kuifungua account hiyo ukiwa Tz inafungwa hapo hapo, na pesa zako wanazifreeze.

Kwa upande wa payza, ni kama paypal lakini ni lazima uwaulize hao unaowafanyia kazi kama wanasupport matumizi yake. inginevyo waweza pia kucheki nao kama wanasupport SKRILL, ni bora sana kama paypal (hii ni ya waingereza paypal wamarekani). Ikishindikana kabisa waweza omba wakutumie kwa wire transfer.
 
https://www.paypal.com/fi/webapps/mpp/home

Fungua hiyo link halafu jiunge. Kinachohitajika ni kubuni username na password. Halafu baadae itabidi u verify card yako. Uliza baadae kama ukipata shida.

Kaka hivi kufungua hii pay pal account ukimlipa mtu ambaye yuko nje ya Tanzania ni salama? Hawezi kukukana kwamba hujamlipa? Mimi kuna mzungu yuko UK anataka nimlipe advance payment through paypal account yake sasa ninakuwa na wasi wasi asije nitapeli, naomba msaada kaka
asante
 
Kwa kawaida kulipa kwa paypal ni salama zaidi kwa vile kuna uwezekano mkubwa wa kurudishiwa pesa zako kama hukupata huduma uliyolipia. Hata hivyo unatakiwa kuwa muangalifu na malipo ya mtandaoni...tumia busara yako kutambua kuwa muuzaji huyo ni wa kweli au la.
 
Mh, hyo Dingiswayo ni hatari zaidi. Paypal wakidetect wanaweza kufreeze pesa yako na hata kuterminate account yako kabixa. Kwa CRDB kuwithdraw pesa toka paypal ni ishu, kuweka unaweka tu fresh!
 
halafu jamani mimi napata shida kuona sehemu ukitaka kupost status yako unaenda wapi maana nimetafuta ila sioni sehemu ya kupost statu yako!!!
:nono:
 
Back
Top Bottom