cherry nkya
New Member
- Aug 10, 2013
- 4
- 0
uyo mzizi mkavu nampatajehebu mtumie sms huyu jamaa anaitwa MziziMkavu. Don't worry tatizo lako limeisha sweetie
Chukua majani ya mpapai yaliyokomaa matatu yakatekate kama mboga weka ndani ya sufuria weka maji lita 2. Chemsha hadi ibakie lita 1 epua. ikipoa kunywa glass moja asubuhi na jioni kwa siku tano (yakiisha tengeneza mengine kukamilisha dozi)
jaman nina tatizo la constipation(kufunga haja kubwa)na nilimuda sasa morethan 2 yrz nimejaribu tiba nyingi haijasaidia naona mabadiliko pale tu ninapotumia dawa ila zikiisha tatizo liko palepale,nimejaribu dawa za kienyeji ila responce yake ndo ndogo zaid,naenda haja afta siku nne na kuendelea wakati mwingine inaenda hadi siku nane na kula nakula kama kawaida milo yote,help plz wat shld I du