cherry nkya
New Member
- Aug 10, 2013
- 4
- 0
Jamani nina tatizo la constipation(kufunga haja kubwa)na nilimuda sasa morethan 2 yrz nimejaribu tiba nyingi haijasaidia naona mabadiliko pale tu ninapotumia dawa ila zikiisha tatizo liko palepale,nimejaribu dawa za kienyeji ila responce yake ndo ndogo zaid, naenda haja afta siku nne na kuendelea wakati mwingine inaenda hadi siku nane na kula nakula kama kawaida milo yote.
Help please what should I do?
Help please what should I do?