Uss ilisema nitajifungua tar 11.makadirio ni jana.cjakosea last mens 7/7/2012Hebu kapige ulta sound ucheki kweli kama imefikisha 40weeks?????? Nashauri fanya mazoezi sana .inawezekana umekosea last menstruation yako ilikuwa lini sure huwezi kwenda mbali hivo
sasa kama makadirio ni jana unatuumiza vichwa vya nini unaweza pitisha hata 1wk jamani hebu vumilia mwombe mungu sana na fanya mazoezi wiki hii haitaisha utajifungua kama hukukosea datesuss ilisema nitajifungua tar 11.makadirio ni jana.cjakosea last mens 7/7/2012
Daa thanks naanza zoezi hilo mara moja.dr alinambia ijumaa haifiki nimepita leo ni j3 nasubiri cku ya clinc j5 nisikie atanambia kipi tena.Mimi ningeshauri uende tu hospital wakakuanzishie uchungu hapana shaka kakiwekwa ka oxytocin inj.kwenye drip ya maji lazima umpokee huyo mtoto naona ni wa kiume vile kwikwi mie siyo nabii lakini...vingevyo hebu chezea hizo chuchu hasa kale kakichwa anakonyonya mtoto kwa dakika 5 ukikaa muda fula anzoa tena maana inafanya oxytocin izalishwe nyingi ambayo ndiyo inasababisha contraction za muscles.