Please help

Please help

Aquous

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
292
Reaction score
86
Jamani nina mimba 40 weeks sasa lakini cna dalili ya kujifungua na nimechoka hata kutembea sasa tabu, nauliza hakuna natural methods za kustart labour pains?

Naogopa za hospital nisaidien nimechoka mpaka basi, kweli mtoto mgumu jamani.
 
Hebu kapige ulta sound ucheki kweli kama imefikisha 40weeks?????? Nashauri fanya mazoezi sana .inawezekana umekosea last menstruation yako ilikuwa lini sure huwezi kwenda mbali hivo
 
Mimi ningeshauri uende tu hospital wakakuanzishie uchungu hapana shaka kakiwekwa ka oxytocin inj.kwenye drip ya maji lazima umpokee huyo mtoto naona ni wa kiume vile kwikwi mie siyo nabii lakini...vingevyo hebu chezea hizo chuchu hasa kale kakichwa anakonyonya mtoto kwa dakika 5 ukikaa muda fula anza tena maana inafanya oxytocin izalishwe nyingi ambayo ndiyo inasababisha contraction za muscles.
 
Hebu kapige ulta sound ucheki kweli kama imefikisha 40weeks?????? Nashauri fanya mazoezi sana .inawezekana umekosea last menstruation yako ilikuwa lini sure huwezi kwenda mbali hivo
Uss ilisema nitajifungua tar 11.makadirio ni jana.cjakosea last mens 7/7/2012
 
uss ilisema nitajifungua tar 11.makadirio ni jana.cjakosea last mens 7/7/2012
sasa kama makadirio ni jana unatuumiza vichwa vya nini unaweza pitisha hata 1wk jamani hebu vumilia mwombe mungu sana na fanya mazoezi wiki hii haitaisha utajifungua kama hukukosea dates
 
Mimi ningeshauri uende tu hospital wakakuanzishie uchungu hapana shaka kakiwekwa ka oxytocin inj.kwenye drip ya maji lazima umpokee huyo mtoto naona ni wa kiume vile kwikwi mie siyo nabii lakini...vingevyo hebu chezea hizo chuchu hasa kale kakichwa anakonyonya mtoto kwa dakika 5 ukikaa muda fula anzoa tena maana inafanya oxytocin izalishwe nyingi ambayo ndiyo inasababisha contraction za muscles.
Daa thanks naanza zoezi hilo mara moja.dr alinambia ijumaa haifiki nimepita leo ni j3 nasubiri cku ya clinc j5 nisikie atanambia kipi tena.
 
Mkuu mleta thread usi panic watu wanapitisha hata mwezi mzima cha msingi nenda Hosp halafu punguza hofu kwani hapo ulipo hakuna watu waliopitia hatua hizo ukawauliza.

Pole sana Mkuu lakini Mungu ni Mwema utapata mtoto ila uliposema mtoto mgumu nimekumbuka misemo kadhaa.

"Toto baya zuri kwa Mama Yake" "Mtoto si nguo kusema Utaazima"
 
Kawaida ni makadirio unaongeza au kupunguza week 2 ndio unakua muda wa kujifungua
So kwa kitaalam bado dear wangu we kazana na zoezi
 
Back
Top Bottom