Habari nzuri.
Sijui which part of social sciencies are you in. Kama upo katika area ambayo unaweza kujiajiri katika private sector or through NGOs, Trusts, Foundations, companies, non for profit companies e.t.c ninashauri uende huko. Nchini kwetu ni kwa kufanya kazi tu katika private sector/private companies na hasa ukijiajiri mwenyewe, ndio kuna changamoto kubwa zaidi (challenging responsibilities). Ukiwa smart na mchapakazi kweli kweli, kuna a lot of potentials hata za kukupatia kipato bora zaidi. You are to be determined and work really hard, very hard.
Kwa mtu professional and ambitious ogopa sana kufanya kazi na mashirika ya umma au public service kwa ujumla. They will kill your potentials. They will never seriously recognize your individual contribution/capabilities and reward you fairly/accordingly. Ni mizengwe mingi huko. Ubabaishaji. Hakuna career development ya maana huko. Nahisi ndicho kinachokuboa pia.
Naamini kama wewe ni mchapakazi kwelikweli huhitaji kubadili fani kwa sasa bali kuikomaza fani yako kwa kusomea zaidi specialty yenye interest zaidi kwako. Nakubaliana na WOS unapofikiria kubadili fani.
Ni mtizamo tu.