Please I need your advice.....!!

 

Kuhusu research dada nimeshafanya nyingi kiasi tu but in collaboration na watu wa discipline mbalimbali. What I think bothers me sijui niseme si content ya field niliyomo bali nafikiri ni aina ya ufanyaji wake Sijui kama naeleweka,

Sitaki kuendelea kufundisha kama mwajiriwa bali nafikiria ningependa kujiajiri kwa kuwa na firm yangu mwenyewe and then kama ni kufundisha basi iwe ni kwa mwaliko au part-time.

Suala la kujiajiri kwa sasa naliona kama ni long term plan, and it need some preparations- kama ni kuwa na consultation firm I think one need to know and define her/his area of expertise of which kwangu itakuwa ni social issues (ambayo nafikiri niko bored nayo) I guess nitakuwa na tatizo ambalo sijaligundua bado.

But I will act on your advice and i really appreciate it.
 
😕
You have nailed it down Mkuu. Aksante sana nafikiri this is what is killing me!!

Ninafanya kazi na naona kama imekuwa ni ya kawaida tu - its a routine and a way of life - hakuna changamoto wala a thing ya kukufanya uone kuwa you have done a thing- apart from engaging in research of which sometimes zinakuchukulia muda huwezi hata kufulfil teaching obligations zako- unakuwa unawaonea tu wanafunzi unawaibia muda wao. Kusema kweli commitment katika kazi hii inakuwa ni ngumu kwangu. 😕

Thanx for your advice
 

Mwanajamii1
Kwa ninavyoona mimi zaidi ya kukosa changamoto za kutosha pia umekosa motivation na inawezekana working conditions/environment hazikuridhishi, hivyo inakupelekea uboreke na kazi yako.
Unaweza kutafuta kazi kwenye organization nyingine na badala ya kufundisha ukawajibika na lingine kwa hiyo career yako. Incase unataka kusoma kitu kingine tofauti,jiulize utakitumiaje au ndo kuongeza tu knowledge na kukimbia caree uliyokuwa nayo sababu ilikuboa?!..
All the best!..
 
(Next Level?)[/B] na a more challenging career.

Nakutakia kila la heri.

Kaizer......mbona question mark? ....Questioning NL......Mkuu ID yangu tells a lot about me and my life........!
 
Iko muda mtu unaweza kwenda na bado ukaona kuwa hujafika' hasa ni kuwa pale ulipofika uliwakuta' ulipojitazama ukahisi kama una madoa ukaanza kuyafuta. Baadaye ukatahamaki kuona bado hujakubalika hapo ukatamani tena kujibandika na hapo ndipo ulipoona ndo unaharibika ukaona ni bora ulokunywa kuitapika, nakushauri ufikiri kabla ya kutenda ndugu! Amini kuwa ushafika, safari ya maisha haina kituo kijulikanacho bayana, usijejianzia njia ya upotevu,
 
Mshukuru mola kwamba una kazi na riziki wajipatia, kusoma ni kupata ujuzi zaidi na kuondoa ujinga' tumia muda wako kumwomba mola akuoneshe njia, jibidiishe katika sala, ongeza upendo na ushirikiano na wenzako na jaribu kupuuza mambo yasojenga. Amini kuwa wewe ni wewe na hakuna zaidiyo. Japo ufahamu nafsi ya mwanadamu haishibi kamwe. Siku zote huwa na hiki na ikataka hiki na kile na bado haitoshiba kile na itahitaji siku zote. Kuwa mvumilivu ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…