Please..!jamani naomba msaada kuhusu hili juu ya muhas!

Ba Liz

Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
58
Reaction score
8
Wanajf please!naomba kuuliza hivi muhas wana second round application for diploma and advanced diploma kwa waliokosa nafasi baada ya selection?na kama ipo naomba kujua ni lini maombi hayo wataanza kuyapokea na ni lini watakaochaguliwa second batch watajiunga?Naomba msaada kwa yoyote mwenye ufaham kuhusu hili.natanguliza shukrani na Mungu wa mbinguni awabarikii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…