Please!: Msaada Jinsi ya Kuwaangamiza hawa Paka

Please!: Msaada Jinsi ya Kuwaangamiza hawa Paka

Jamani hao paka mnataka kuwaonea tu,paka ni mnyama mstaarabu.wao hupenda kufanya burudani zao wakati wa usiku ili watoto wasione "mchezo mbaya"hizo kelele ni mawasiliano yao ya kimahaba.
Kwanini muwadhulumu roho zao hivyo ?isitoshe basi zoezi hilo halizidi siku tano !
 
Back
Top Bottom