Please!, Naomba nitafutie mchumba wa kunioa.

Please!, Naomba nitafutie mchumba wa kunioa.

Mcheza Karate

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
690
Reaction score
350
"Najua sisi ni marafiki kwa muda mrefu sasa, unaweza ukafahamu kwa ufupi historia yangu ktk suala zima la uhusiano/mapenzi . Samahani kama nitakuwa nimekukwaza, NAOMBA NITAFUTIE MCHUMBA WA KUNIOA. Please, naomba uwe serious". Ni ujumbe ambao nilitumiwa wiki tatu zilizopita na dada mmoja ambaye tulisoma sekondary{ a-level) kule Ndanda, zamani kidogo. Tukakutana tena chuo baada ya miaka kama sita hivi. Anaishi Mwanza kikazi. Nami niko Dar. Lakini message hiyo ya dada yangu mwanzoni niliona kama utani tu na sehemu ya utani wa marafiki mliosoma pamoja. Lakini kinachonitatiza dada yangu huyu karibu kila siku ananiuliza kama nimemtafutia huyo mchumba? Na anasisitiza huku akionesha kuwa hatanii. Binti ni mrembo kwa kweli na ana kazi nzuri tu. Sidhani kama mwenyewe hakuna vidume vinavyompiga promo. Najisikia vibaya anapoingiza hili suala lake tunapozungumza. Nikimweleza kuwa huo utani sitaki huwa anan'gang'ania kuwa mimi ndo natania yeye hatanii. Wadau nimpotezee vipi huyu mdada? Au yuko serious kweli? Wakati mwingine huwa hadi ananikasirikia ninapomwambia kuwa sijamtafutia huyo mchumba!
 
Ni njia ya kina dada au kaka,anajifanya,ntafutie,na vigezo
Kumwaga..it's u needed hapo...kama upo single jiongeze,
 
"Najua sisi ni marafiki kwa muda mrefu sasa, unaweza ukafahamu kwa ufupi historia yangu ktk suala zima la uhusiano/mapenzi . Samahani kama nitakuwa nimekukwaza, NAOMBA NITAFUTIE MCHUMBA WA KUNIOA. Please, naomba uwe serious". Ni ujumbe ambao nilitumiwa wiki tatu zilizopita na dada mmoja ambaye tulisoma sekondary{ a-level) kule Ndanda, zamani kidogo. Tukakutana tena chuo baada ya miaka kama sita hivi. Anaishi Mwanza kikazi. Nami niko Dar. Lakini message hiyo ya dada yangu mwanzoni niliona kama utani tu na sehemu ya utani wa marafiki mliosoma pamoja. Lakini kinachonitatiza dada yangu huyu karibu kila siku ananiuliza kama nimemtafutia huyo mchumba? Na anasisitiza huku akionesha kuwa hatanii. Binti ni mrembo kwa kweli na ana kazi nzuri tu. Sidhani kama mwenyewe hakuna vidume vinavyompiga promo. Najisikia vibaya anapoingiza hili suala lake tunapozungumza. Nikimweleza kuwa huo utani sitaki huwa anan'gang'ania kuwa mimi ndo natania yeye hatanii. Wadau nimpotezee vipi huyu mdada? Au yuko serious kweli? Wakati mwingine huwa hadi ananikasirikia ninapomwambia kuwa sijamtafutia huyo mchumba!
Mbona una complicate hii issue, huyu ni rafiki yako ambaye inaonekana anakuamini kwa mmesoma pamoja na mnaelewana.Inavyo onekana anakukubali wewe binafsi, hivyo anaamini kuwa marafiki au watu unaotangamana nao watakuwa watu safi.
Kwa sababu hiyo kuliko yeye kuanza kujaribu jaribu bahati kwanini asikuombe wewe umsaidie katika kuchuja na kumuunga kwa kati ya washikaji zako ambao unaona wataendana nae?
Inawezekana ameshawahi pata tatizo kwenye mahusiano ndio maana anataka umsaidie.
Jamani lazima mjifunze kuaminiana na kusaidiana hata kwa jinsia tofauti, sasa nini maana ya kusoma pamoja na kuwa marafiki kama huwezi kumsaidia kwenye issue sensitive kama hiyo? Sio kila saa kufikiria kumega, kumegwa tu!
Nakushauri kaa nae msikilize anataka mtu wa aina gani na kama una washikaji ambao wako serious kuoa, basi waunganishe na waambie kabisa wao ndio wafanye final decision kama watakubaliana.
Hivi utajisikiaje siku unakutana na familia ambayo wewe ndio uliwaunganisha? Ni kitu kizuri sana na utapata baraka nyingi sana.
Msaidie bana...
 
Hata mimi natafuta wa kumuoa. naomba unipe namba yake. mhh
 
Hata mimi natafuta wa kumuoa. naomba unipe namba yake. mhh
mh! Kwani huna hata majirani. Unataka nimuunganishe na watoto wa form two? Kaka tafuta mtaani kwenu au nikupe namba zake? Ni 0756***303. Au zantel 0773...........Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
 
Anayajua madhara yakutafutiwa au anataka wakumpotezea mda?
 
huyo dada anaonekana ana shida kidogo ktk mindset yake anahitaji ushauri wa kisaikolojia. kwani kwa uelewa wa kawaida ni kuleta utani na maisha kwa kutaka kuchaguliwa mchumba. MKATABA WA NDOA C MKATABA WA KUUZIANA NYANYA!
 
Back
Top Bottom