Jerryson, umekuwa muwazi, ushauri wangu; kama unaitaj kwa kumchezea tu tafadhali kaa mbali na uyo dada, ila kama umempenda kwa dhati una mipango naye mizuri na upo tayar kuachana na tabia yako chafu (play-boy) chakufanya ni hiki;
usimuoneshe nia yako mapema, jiweke karibu naye kirafiki tu, kwa vile ni jirani jitaidi kila siku unapiga naye story ili upate kumfahamu kiundani zaid, ufahamu maisha yake kwa ujumla! ujue anapendelea nn na apendelei nn! alishawai kuwa na boy! kiufup ujue mambo mengi kutoka kwake, jitaid kuwa mcheshi ili asipokuona siku 1 tu yeye ndio akutafute mkuu!
Mnunulie zawad ndogo ndogo kadri inavyowezekana ili aone unamjali, kuwa makin na madhungumzo wanawake wa siku hizi awapend wanaume wenye majivuno, be a man of action.
Mkuu hakuna mwanamke mgumu dunian labda awe tayar occupied or other reason, kubali kupoteza muda. kumbuka atakuja kukuliza kuhusu wale mashost wawili uliowaingiza room, tafuta jibu zuri la kumlidhisha.
Dunian hakuna anayefahamu mapenzi sisi sote tunajifunza.