PLEASE READ: Nampenda lakini ana itikadi za KILOKOLE

Mkuu anza taratibu, usikimbilie kumtoa out wakati hajakuzoea kivileeee. Anza taratibu, nunua hata machungwa ukinunua matano mpe moja huku ukimwambia kiutani "afya kwanza" nimetolea mfano tu, Lol. Najua wewe ni mjanja utaelewa. Harafu kumbe ulishafika mbaaali hadi ushajua hadi kazi, anatoka wapi, umri na hadi kaka yake (unauhakika ni kaka yake kweli - just kidding anyway). Kuwa na makini pengine hujampenda ila umemtamani binti wa watu akishakupa unaanza kujilaumu Hahahahah!!
 
Achana nae mnakaa pamoja mtakuwa hamsalimiani.
 
Kama umefatilia maelezo yake vizuri kaweka wazi nia yake! Na kasema akimpata ataacha u play boy!Nakumpata ndio itakuwa njia pekee ya jamaa kubadili tabia Nilicho fanya nikutoa ushauri.

Thank you kwa clarification.
Kama ndiyo hivyo, asiogope wala kujivunga. Aende kuongea naye moja kwa moja bila woga ila kwa heshima. Nafikiri kama dada naye atakuwa kampenda, huenda wakafikia muafaka. Namtakia kila la kheri.
 
Jerryson, umekuwa muwazi, ushauri wangu; kama unaitaj kwa kumchezea tu tafadhali kaa mbali na uyo dada, ila kama umempenda kwa dhati una mipango naye mizuri na upo tayar kuachana na tabia yako chafu (play-boy) chakufanya ni hiki;
usimuoneshe nia yako mapema, jiweke karibu naye kirafiki tu, kwa vile ni jirani jitaidi kila siku unapiga naye story ili upate kumfahamu kiundani zaid, ufahamu maisha yake kwa ujumla! ujue anapendelea nn na apendelei nn! alishawai kuwa na boy! kiufup ujue mambo mengi kutoka kwake, jitaid kuwa mcheshi ili asipokuona siku 1 tu yeye ndio akutafute mkuu!
Mnunulie zawad ndogo ndogo kadri inavyowezekana ili aone unamjali, kuwa makin na madhungumzo wanawake wa siku hizi awapend wanaume wenye majivuno, be a man of action.
Mkuu hakuna mwanamke mgumu dunian labda awe tayar occupied or other reason, kubali kupoteza muda. kumbuka atakuja kukuliza kuhusu wale mashost wawili uliowaingiza room, tafuta jibu zuri la kumlidhisha.
Dunian hakuna anayefahamu mapenzi sisi sote tunajifunza.
 
Last edited by a moderator:

Asante sana Masawe,ushauri wako pia ni wa maana sana! Naufanyia kazi kuanzia sasa,ntajitahid kuanza kumpigisha story za hapa na pale! Cha msing nifuate maelekezo yako! Kama kweli atakuwa na nia basi huenda nshampata wa kudumu naye!
 
Last edited by a moderator:

ha ha ha ha ha... Lakini hata kama mtu umempendaje,lazima pia uanze na kumtamani! Yule dada ni mzuri kiukweli japo siyo kwamba ni zaidi ya Cleopatra,lakin she is somehow attract.
 
ha ha ha ha ha... Lakini hata kama mtu umempendaje,lazima pia uanze na kumtamani! Yule dada ni mzuri kiukweli japo siyo kwamba ni zaidi ya Cleopatra,lakin she is somehow attract.
Kila la kheri, utulie lakini!! Ila hiyo avarta yako sahau mie kushabikia mnyama Hahhhaahaha! Lol!!
 
Hiyo namba 7 ndio nimeipenda.'habari kaka
 
Kama nia yako ni kudumu nae, kwanza acha ukicheche uweke mazingira ya kuwa wewe ni mtu na heshima zako. Pili, tafuta kanisa gani anaenda ili ikitokea muongezane, hiyo 5000 ni pesa ndogo unaweza ukasamehe na ikazidi kuimarisha uhusiano wenu labda atakuona wewe ni mtu karimu.
 
Jikaze kiume,mwambie umeoteshwa na bwana kuwa yeye ndiye mke wako uliyepangiwa!
 
haya kaka wee ukitupa karata zako hapo lazima kwanza ukubaliane na fact kwamba kuna uwezekano mkubwa akakuambia kuwa no K mpaka unioe...upo tayari kwa hilo?
njia rahisi yakumfanya awe wako ni kujaribu kuwa nae karibu...mafeelings ya mahaba ujengeka kirahisi sana pale ambapo watu wawili utumia muda mwingi wenyewe so iyo ndio iwe strategy yako
 
badili mfumo wa maisha. kwanza acha kupiga nyimbo za bongo fleva. acha kuleta vicheche hapo kwako. kisha anza kupiga nyimbo za dini kwa kwenda mbele, na mapambio, muda wote tembea na bible ya yeye akuone ukobize na dini, then jisogeze kwake kwa kigezo cha dini, utamjua tu kama kweli mtu wa dini au na yeye anatumia kinvuli cha dini kuficha maovu, trust me utamkunja bila hata kumwambia nakupenda. huwa tunaita automatic switch.
 

na dunia hii ya kila kitu bandia!
Lakin naweza kukubali iwapo itabid kuwa vile.
 

gud idea!
Ngoja tu.
 

nia na madhumuni ni kudumu naye to. Not otherwise,nimekuwa mtu wa kubadilisha mashost mpaka imenikera hata mimi.
So naona yeye kwa kuwa ni house mate wangu basi atanisababisha hako ka mchezo kafe na kuwa gud boy!
Pia ushauri wako nimeunyaka.
 
hakuna aliyezaliwa tu na kuibukia ulokole hasa hapa kibongo bongo!
Wengi wanaingia kuokoka baada ya ushetani mwingi.
So ucshangae nikimpata basi nami shetan atakomea hapo hapo!

ndugu,unauhakika,na,unachokiongea.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…