PLEASE READ: Nampenda lakini ana itikadi za KILOKOLE

sio ntanyang'anywa tonge mdomoni?! Wewe nipe ya kwako halafu nimwambie kuna mtu anahitaji kufanya maombi na wewe,akikubali najua atakuvutia waya tu.

kipindi nasoma kuna watu walikuwaga wanaitwa tafes. Hawa walikuwaga na msimamo wa kumegana kimya kimya. Anaonekana ana msimamo ila kwa si watoto wa stori tulikuwa tunapata habari zao za kumegwa kimya kimya. Siku ukimfuma rum anamegwa na jamaa anakuwa anakuheshimu sana ili usivujishe. Huwa siamini kwamba kuna mlokole maskini au mwanamke ambaye hajaolewa ambaye atakwepa mishale ya tamaa za kuolewa. Wengi wao wanaolewaga na vijamaa vihuni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…