Tunakuja kwenu wana JF,
Please tupeni maujanja ya kupata mtoto wa kiume, tunao watoto wawili wa kike. Hivyo tunahitaji atakae kuja awe wa kiume,i li furaha ya ndoa itimie.
Nyumba inafurahisha kukiwa na watoto wa kike na kiume.
Please ndugu zangu nahitaji msaada wenu.
Thanx,please kama unaweza kupata threads zilizowahi kupita kuhusiana na hili jamboKama mnajua kalenda vizuri, siku ya 14 baada ya period hapo ndio mtot wa kiume anapatikana, manii zinatakiwa ziwe active pia so unaweza kujipa likizo ya kutokuduu kwa siku kadhaa, ili siku ya 14 zitoke mbegu zenye nguvu,
Subiri na madokta waje wakuelimishe vzr
Thanx,please kama unaweza kupata threads zilizowahi kupita kuhusiana na hili jambo