Please tunahitaji baby boy

Please tunahitaji baby boy

Kidasa

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
309
Reaction score
108
Salaam wakuu wote wa JF;

Hakika ninaleta ombi langu kwa wataalamu wa huku JF Kunipa data za kuweza kupata jembe langu (Baby boy).Tuna watoto 2 baby girl.

Kuna link nimeshindwa kuiona ilikuwepo huku JF kuhusiana na hili suala.

Please naombeni mnisaidie wazee.

Tunakuja kwenu wana JF,

Please tupeni maujanja ya kupata mtoto wa kiume, tunao watoto wawili wa kike. Hivyo tunahitaji atakae kuja awe wa kiume,i li furaha ya ndoa itimie.

Nyumba inafurahisha kukiwa na watoto wa kike na kiume.

Please ndugu zangu nahitaji msaada wenu.
 
baby boy ktk process ni adimu sn, na naweza sema ni gift zaid ya girls,,
huyu baby boy anapatikana cku moja tu ktk menstrual cycle, cku hyo ni cku ya katikati yaani cku ya ovulation, utaitambua kwa kufatilia cku zako na ukijikuta una ute mwepesi ndo cku ya ovulation na ndo cku yakupata baby boy km utaingiliana na mwenzio,,,
for mo details niPM km hujaelewa
 
Kama mnajua kalenda vizuri, siku ya 14 baada ya period hapo ndio mtot wa kiume anapatikana, manii zinatakiwa ziwe active pia so unaweza kujipa likizo ya kutokuduu kwa siku kadhaa, ili siku ya 14 zitoke mbegu zenye nguvu,

Subiri na madokta waje wakuelimishe vzr
 
Thanx,please kama unaweza kupata threads zilizowahi kupita kuhusiana na hili jambo
 
ukipitia njia zote watakazo kushauri zikishindikana, mimi yangu ni moja tuu ukienda AMI hospital pale masaki watakupa uvumbuzi kama waliompa mwanadada maarufu na mmiliki wa blog moja hatimae sasa ananyonyesha kidume chake, baada ya kuwa na wakike tuu
 
Wakuu,please msaada wenu kwenye hiyo mada hapo juu.
 
Back
Top Bottom