Kuna dada mmoja ni mwalimu, nina uhusiano nae wa kimapenzi kama miaka 3 mpaka sasa.. Kiumri kanizidi miaka 2. Alinipenda nikampenda, hakuwa na tamaa na chochote.. Na nilimpata ktk mazngra ya mimi kutokuwa na kazi hvyo sikuwa na pesa.. Nilimfatilia kma mwaka ndo akanikubali, kunipa penzi baada ya miez 6.. Tatizo limeanza nilipopata kaz mkoani.. Kila nikimpigia cm anaongea yasiyoeleweka.. Mwishowe anasema nipgie bdae kwa kutoa sababu hafifu, ukimpigia hapokei.. Bdae anasema nilikuwa kwny kelele.. Niliporud Dar nikaamua nikae kwake.. Nimekaa mwez 1 akawa hataki niguse simu yake ambayo iko bize mara mia ya mimi.. Ni zaid ya msg 20 na calls kadhaa kwa ck ktoka kwa w2 mbalimbli.. Anapokuwa hayupo nachukua simu yake na kukuta msg zinam'refer kama hny, dia, swt, wife 2 b n.k.. Kila nikimuuliza tunagombana mpaka presha inampanda na kupoteza faham.. Mbaya zaid nimegundua huwa ananidanganya kwa kuniaga anaenda sehem flani kumbe ana miadi.. Ninataka KUMUACHA naomba ushauri wako.. Na amegoma kabisa kubadilika..