PLO Lumumba amlilia Hayati Magufuli

PLO Lumumba amlilia Hayati Magufuli

Kontoro

Senior Member
Joined
Apr 24, 2020
Posts
123
Reaction score
286
Lumumba ni mzalendo wa kweli Afrika. Kajidhihilishia hilo katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa Hayati Magufuli.

Machozi yanamtililika Kwa uchungu wa dhati. Kiukweli waafrika tumepoteza jembe.

Nabii hakubaliki nyumbani kwao. Ila kwa mtanzania yoyote mwenye maono, uzalendo wa dhati hawezi mtukana mwendazake kwa lolote. Ukiioma mijitu yenye kung'ang'ania makosa, bila kuleta majawabu, yenye kulaumu na kunung'unika tu jua hayana maono. JPM alikuwa na vision, mission and objectives ambazo alitaka nchi hii ifikie.

Hata mseme, mnune, lazima kazi zote alizoziacha JPM ziendelee tena. JNHEP, SGR,ATCL etc. Mpango wa Mungu kwa Tanzania upo palepale. Nchi hii ni jabali la uchumi,kimbilio la wengi na imewekwa na Mungu kwa saa kama hizi.
 
Duh wewe unaota mchana kweupe, hata shada la maua halijakauka tunayabaini yaliyokuwa yamejificha ya kijambazi na wizi mkubwa.

Alituita wanyonge akafanya mambo kinyume cha katiba na ubabe kumbe lilikuwa lijizi libobezi la mali na liliiba ktk uchaguzi.

Tukiyajua yote, tutalitandika bakora lile kabuli lake na kuliwekea pingu lile kabuli ili panapo kufukuliwa tu akutane na pingu jambazi pia dikteta hilo bobezi
Nabii hakubaliki nyumbani kwao. Ila kwa mtanzania yoyote mwenye maono, uzalendo wa dhati hawezi mtukana mwendazake kwa lolote. Ukiioma mijitu yenye kung'ang'ania makosa, bila kuleta majawabu, yenye kulaumu na kunung'unika tu jua hayana maono. JPM alikuwa na vision, mission and objectives ambazo alitaka nchi hii ifikie.Hata mseme, mnune, lazima kazi zote alizoziacha JPM ziendelee tena. JNHEP, SGR,ATCL etc. Mpango wa Mungu kwa Tanzania upo palepale. Nchi hii ni jabali la uchumi,kimbilio la wengi na imewekwa na Mungu kwa saa kama hizi.
 
Hata shetani ana manabii wake. Na huyo mtu wenu ni mmoja wao
 
Kama kijana wako wa secondary atasoma patriotism kwenye civics na akaielewa vizuri siku akijua wewe baba yake/mama yake ndo umeandika haya, kuwa mzalendo wa kweli lazima amlilie magu, kijana wako atajiskia unyonge sana kwa sababu ya kuwa na mzazi ambae haelewi anaongea nini.
 
Nabii hakubaliki nyumbani kwao. Ila kwa mtanzania yoyote mwenye maono, uzalendo wa dhati hawezi mtukana mwendazake kwa lolote. Ukiioma mijitu yenye kung'ang'ania makosa, bila kuleta majawabu, yenye kulaumu na kunung'unika tu jua hayana maono. JPM alikuwa na vision, mission and objectives ambazo alitaka nchi hii ifikie.Hata mseme, mnune, lazima kazi zote alizoziacha JPM ziendelee tena. JNHEP, SGR,ATCL etc. Mpango wa Mungu kwa Tanzania upo palepale. Nchi hii ni jabali la uchumi,kimbilio la wengi na imewekwa na Mungu kwa saa kama hizi.
Maono ya kuangamiza taifa na wazalendo wa kweli wa nchi.
 
Huyo PLO kala maharage ya wapi? Ya Kisumu au ya Chato? Hivi pilipili asiyoila inamwashia nini? Namuomba akome kulichafua jina la Lumumba. Nilikuwa nikidhani ni mtu wa maana kumbe takataka tu. Kama anampenda dikteta uchwara kama mwendazake akanywe naye chai huko aliko.
 
Misukule kama BAK, Mshana Jr, Asprin, Behaviorist, Sky Eclat na wenzao lazima waje kutukana utasema JPM kawabebesha mimba na kuwakana. Wanahangaika mpaka unawaonea huruma JPM ni ukuta kumpinga ni kupoteza nguvu zako bure.
 
jpm alijua kukaza nati za wajinga wajinga.

saa hizi walipo wamebaki kutukana maana hawaoni dalili ya mama kuwarejeshea keki yao.

mbowe jana kawakilisha mawazo ya waliokuwa wapinzani wa utawala wa jpm,kwamba walikubaliana naye pakubwa tu,shida yake ilikuwa moja uhuru na demokrasia,CAG na repoti yake yenye mkanganyiko walaa.

haya mapuuzi yanayotukana muda wote tuyakatae,hayana nai njema na taifa hili,kama yanavyojinasibu.
 
Nabii hakubaliki nyumbani kwao. Ila kwa mtanzania yoyote mwenye maono, uzalendo wa dhati hawezi mtukana mwendazake kwa lolote. Ukiioma mijitu yenye kung'ang'ania makosa, bila kuleta majawabu, yenye kulaumu na kunung'unika tu jua hayana maono. JPM alikuwa na vision, mission and objectives ambazo alitaka nchi hii ifikie.Hata mseme, mnune, lazima kazi zote alizoziacha JPM ziendelee tena. JNHEP, SGR,ATCL etc. Mpango wa Mungu kwa Tanzania upo palepale. Nchi hii ni jabali la uchumi,kimbilio la wengi na imewekwa na Mungu kwa saa kama hizi.
Hana Cha unabii wowote

Yeye alikuwa dikteta uchwara tu

Yafaa Nini hayo yote aliyojenga ikiwa aliua,kutesa,kupora ,kuzuia watu wasiseme ,kuiba pesa za umaa,kupendelea anaowataka yeye hata Kama hawana sifa

Aendezake tu .

Wala Hana Cha unabii

Na huyo PLO lumumba Ni kanjanja tu kwa jina la pan africanism Wala hana lolote la maana

Kimsingi wanafanana Tabia so ajbu hata Kenya anaonekana mpuuzi tu fulani
 
Prof wa hovyo kabisa huyu. Analizalilisha ilo jina Lumumba
Huyu jamaa ni Profesa? Siyo PhD holder?

Anyway, a guy ni Pan Africanist. Anahusudu misimamo ya kiongozi kama Magufuli hivyo kumlilia ni sahihi. In fact hata alivyoenda kwenye interview na Lisu nilishangaa watu kutarajia kitu tofauti zaidi ya kusikia utetezi.
 
Sote tunajua Lumumba alikuwa akilipwa pesa nzuri sana na Magufuli ili kumpamba na kumshauri. Kilio chake huenda kinamaanisha kukosa mshahara mnono!
 
U
Mpuuzi sana huyu mzee. Anajiona mjuaji kumbe kinyesi tu.
UTakuta mimba yako ilitungwa baani na ukazaliwa gesti na kukua ukakulia ufipa na mto uliowahi kuuvuka ni mto mara
 
Back
Top Bottom