PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

Unajisumbua tu wewe MATAGA, hamna pakushika tena dadeeeki.

Lazima mtahama hapa mjini mrudi kwenu koromitje

Povu kama lote,na Baraza la Mawaziri ndiyo imetoka hivyo,hampo. Endeleeni kunywa mbege tu hakuna jinsi,karibu Kigongo-Busisi ujionee ujenzi rasmi wa daraja la JPM ukiendelea kwa kasi.
 
Pumbaf
 
Yote haya yanakuja baada ya kuona lissu kaburuzwa na kuambiwa ukweli wake aache hasira, inahitaji mtu anayejitoa akili sana kuyatetea anayoyafanya lissu kwa sasa ( kuzurura unamchafua marehemu ).
Kaburuzwa na nani? Yye kaongelea upande hasi, PLO kaongelea upande anaoujua yeye.

Unajua Nyerere tunamsifu sana ila familia ya kambona au Jumbe unadhani itakua na maoni chanya juu yake?

Lazima tukubali marehemu alikua mchapa kazi kwa some na dikteta/muuaji kwa some. Huo ni ukweli usiopingika
 
Hongera kwa kuweka record sawa
 
Inawezekana hujafika Kilimanjaro hata Kama ni kwako...mjini pale Moshi Kuna uwanja plus KIA

Rais wa awamu ya ngapi aliyetokea huko Kilimanjaro ndio alijenga hivyo viwanja vya ndege huko?
 
Ungekuwa wewe ungefanya anayoyafanya lissu sasa?
 
Hahahaha...angalia serikali iliyoundwa harafu niambie nirudi. Anyways, watu wenye chuki kama wewe huwa sihangaiki nao. Sina muda wa kuchukia binadamu mwenzangu..nipate kisukari cha nn na ugonjwa wa moyo?

Wanachekesha sana hawa! SUKUMA GANG inapeta tu au wanajifanya hawaoni,walikuwa wanampigia debe Kimei,Mama kawapa za Uso kawekwa wasiyempenda. Tunawakaribisha Kigongo waje waone daraja la JPM ujenzi ukiendelea kwa kasi ya jabu. CCM na itawale miaka 100 ijayo.
 
Si mlikuwa mnamroga Kigoda sasa mnalialia nini?

Hii si hoja hata,hoja hapa ni kweli Chato ilikuwa ikipendelewa ukilinganisha na Wilaya nyingine ?.

Huyo Prof Mpuuzi badala ya kujibu hoja anakimbilia kutaja miradi ya SGR sijui Mradi wa umeme.Kwa akili yako finyo hayo ndio majibu!.

Ikiwa Chato wlijengewa jengo jipya la Mahakama,jengo jipya la takukuru,jengo jipya la zima moto,jengo jipya la Bohari ya madawa,jengo jipya CRDB,Chuo cha kanda VETA,Hospital ya rufaa,Hotel ya 3 star,International Airport..... Nitajie Wilaya moja iliyopewa upendeleo kama huu nitakuomba msamaha.

Prof PLO ni nani haswaa wa kutuambia Sisi waTanzania kana kwamba Sisi ni vipofu!.Alipewa nafasi ya kuongoza taasisi ya kupambana na rushwaa akashindwa vibaya.

Mtanzania mwenye akili timamu hahitaji kuambiwa yalifanyika makosa makubwa ya kupeleka maendeleo upande mmoja kwasababu tu Rais anatoka Chato.Hali kama hii ikiachwa ikashamiri na kumea kila kabila au kanda watafanya lolote kuhakikisha Rais anatokea Mkoa au kanda yao ili waweze kupata upendeleo.
 
Lissu mbona anapenda kuongea uwongo Sana. Anasema eti Yule mlinzi wa Dr Magufuli asiye mwanajeshi naye alifariki. Lakini mbona tumwemwona Chato na sehemu zote Mwili ulipokuwa? Pia Lissu hawezi kujieleza vizuri, Kwan swali moja anatumia muda mrefu sana kulijibu. Tofauti na Lumumba Prof. Wote wamepewa nusu saa Lakini Lissu kaulizwa maswali machache tu, Lumumbu Prof kaulizwa mengi na kayajibu.
 
Watapoteana sana ingefaa wakakaa kimya tu, Dunia imeona Magufuli alivopendwa na watu wake .

Wanachekesha sana,juzi hapa walihemkwa balaa,wakawa wanampangia Rais nani atoke kwenye Baraza la Mawaziri,kuanzia jana na leo Mh.Rais kapita mule mule kwa Mtangulizi wake,Sukuma Gang wanapeta tu.
 
Toa upuuzi wako

Lissu kachangia uchumi wa wapi?
 
Kama ushawishi wa jiwe ulivyokuwa umeshuka mpaka ikabidi anajisi uchaguzi. Lisu sema ukweli baba watanzania tuko nyuma yako.
Nyie wanafki tu kazi kumshabikia mitandaoni akiwaambia muingie barabarani wote mnapuuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…