secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Ww hizo Acounts zote unazijua!!???PLO ni Mzushi tu ,anajua accounts zote za JIWE? Kwani Chato Airtport haipo? Burigi Park? Shamba Pori la Santos halipo?
Huo ukabila wenu ndio maana hata Nyerere aliwakataa msipewe madaraka makubwa nchi hii.Apoteze mara ngapi? Hana hata akili ya kujua anamshambulia anatoka kanda yenye nguvu sana kisiasa..ina wapiga kura wengi sana. Hata kama kuna watu walikuwa wanam support huko wamepoteza kiongozi wao yeye ni kumshambulia..Subiri arudi huko tena ndio atajua ushawishi wake umeshuka kiasi gani.
Ina màana Dodoma ni chato napo? Kunakojengwa bwawa la umeme ni chato? Ina maana kama chatO kulihitaji maboresho ya huduma asingepeleka sababu kuna watu mtatumia hilo kama mtaji wa kisiasa kumchafua. Chademans are silly bastards
Ila ww nawe akili fupi hayo ni maendeleo ya kawaida sana....Huyo mkenya Yuko obsessed na magufuli kiasi kwamba akiambiwa magufuli ameweka hifadhi ya wanyama, uwanja wa ndege, uwanja wa mpira, taa za barabarani kijijini na kujenga ikulu huko hawezi kuelewa chochote zaidi ya kutupia mijineno ya uongo ya kiingereza Cha wachawi anachobumba. Mpuuzi kabisa. Atuache
TAWILEE....Sasa sisi tuitikiaje humu???
Aliyempiga Lissu risasi ni nani vipi akina Saana8 wapo wapi.Msijifanye hamnazo vaeni viatu vya wazazi wa Akwilina na Ben.Siabudu mtu mimi...naongea ukweli..refer picha na videos za msiba wa magufuli kuanzia Mwanza, Geita mpaka chato..unafikiri wale ni nani zaidi ya wapiga kura? Binafsi kuna sera za magufuli nilikuwa nazipiga ila ukweli ni kwamba nimeumizwa na msiba wake...na hawa wapuuzi wanaoendelea kutaka kumshambulia wakati amezikwa na hawezi kuwajibu watazidi kupoteza sana kisiasa..watu wanaona kwa kiasi gani hawana busara..refer maneno ya Lumumba sio yangu na najua anasema.ukweli.
Unajaribu kutumia maneno ya prof. Lumumba kama kichaka cha kuficha upendeleo aliufanya mh. Magufuli kwa eneo lake la chato. Upendeleo huu ni dhahiri na kamwe hautafichwa kwa maneno ya Lumumba. Yeye hawezi kuijua Tz kuliko Lissu. Lissu anaongea kwa ulinganisho wa chato ya leo, chato ya 2015, maeneo mengine ya nchi hii na mahitaji yake, na vipaumbele ktk nchi hii. Lumumba akisema anaijua chato na amefika ni sawa, lakini anailinganisha na Nairobi. Hata akisema Lissu ana chukuki na Magufuli yawezekana kweli chuki hiyo ipo. Lumumba angeweza kuvaa viatu vya Lissu akapitia mateso aliyopitia Lissu wakati Magufuli akiwa kiongozi mkuu wa nchi hii, hata yeye angeliweza kuwa na chuki tuu.Nimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana. Nataman Sana serikali ya JMT ingekua na mtu mwenye uwezo wa kuisemea Kama Prof. Kwa ufafanuzi wake, Sasa ni rasmi dunia nzima inajua Lissu ana chuki binafsi na JPM, na ni hakika Magufuli alikuwa Kiongozi mwema, mpenda nchi yake aliyetamani kuona nchi ikipiga hatua kimaendeleo.
#TANZANIA NI YETU SOTE, TUIPENDE NA KUITUMIKIA
Muuweke tuone,MATAGA wanalazimisha watu waanze kuweka wazi ufisadi wa kutisha alioufanya MEKO.
Huyu alikuwa mwizi na ukute mali nyingine zimefichwa nchi jirani kwa Warundi.
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Inawezekana tatizo ni lugha, vinginevyo hakuna ubishi kwamba JPM alikuwa anajilimbikizia mali, na kadri muda unavyokwenda itajulikana zaidi nini kilifanywa. Lumumba hakuwahi kuchunguza maisha ya JPM, wala hakuwa na sababu ya kufanya hivyo!Nimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana. Nataman Sana serikali ya JMT ingekua na mtu mwenye uwezo wa kuisemea Kama Prof. Kwa ufafanuzi wake, Sasa ni rasmi dunia nzima inajua Lissu ana chuki binafsi na JPM, na ni hakika Magufuli alikuwa Kiongozi mwema, mpenda nchi yake aliyetamani kuona nchi ikipiga hatua kimaendeleo.
#TANZANIA NI YETU SOTE, TUIPENDE NA KUITUMIKIA
Ni kweli inaumiza na hakuna mtu anaweza kuvaa viatu vya Lisu kwenye ishu ya risasi nafikiri ile ili muathiri kwenye siakolojia na inaweza isiondokea kabisa!Mkuu hujawahi kumiminiwa SMG magazine nzima!! Sio rahisi kama tunavyofikiria kusahau. Kwake yeye kuongea ya moyoni mwake inampa relief ya lile tukio maana polisi wameshindwa play their part. Kma wahusika wangenyongwa Lissu moyo ungetulia na hasira zingeisha.
Huyo ni mchumia tumbo kama ccm walivyo hiyo chato aliyoenda labda ni chato ya katavi,sio hii ya magufuli. Kwahiyo kwa akili yake nusu huo uwanja wa ndege,jengo la TRA,jengo la crdb,hosp kubwa yalijengewa maskini wa chato wawe wanaviangalia ili kupata faraja ya moyo...nasema prof lumumba atakua na PHD kama ya marehemu meko yani fekiMwanasheria mkongwe na mwanaharakati maarufu Afrika kutoka nchini Kenya PLO Lumumba amesema madai ya Tundu Lissu kwamba Hayati Magufuli ni tajiri kama hayati Mobutu Sseseko wa Zaire ni ya uongo na uzandiki uliopindukia....
Bwashee mimi naipenda Chadema kuliko wewe!Tokea lini ukaipenda chadema, acha ife
Bwashee mimi naipenda Chadema kuliko wewe!Tokea lini ukaipenda chadema, acha ife
Magufuli alikuwa na chuki binafsi,japo alishindwa kukamilisha mipango yake miovu kwa Lissu.Nimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana. Nataman Sana serikali ya JMT ingekua na mtu mwenye uwezo wa kuisemea Kama Prof. Kwa ufafanuzi wake, Sasa ni rasmi dunia nzima inajua Lissu ana chuki binafsi na JPM, na ni hakika Magufuli alikuwa Kiongozi mwema, mpenda nchi yake aliyetamani kuona nchi ikipiga hatua kimaendeleo.
#TANZANIA NI YETU SOTE, TUIPENDE NA KUITUMIKIA
NakaziaLISSU BADO NI MGONJWA,WA MWILI NA 'SAIKOLOJIA'. DON'T LEAN ON HIM...!
Nimekuelewa, kumbe ukipigwa risasi unageuka kuwa muongo.Yeye huyo Pro Lumumba anaishi Tz? Amewahi kupigwa Risasi ngapi?
Wewe ni muongo sana humu JF. Kama jambo hulijui ni heri ubaki kimyaAmesoma hapo UDSM bwashee!