Jay Jay Nationalist
Member
- Feb 11, 2017
- 43
- 112
Katika Ukurasa wake wa Twitter, PLO Lumumba ambaye amejiita Mwanasheria wa mpito (a seasoned lawyer), ametabili kuwa Uchaguzi wa Rais utarudiwa nchini Kenya.
Lumumba amesema kuwa Mahakama Kuu nchini Kenya itatoa uamuzi / ukumu ya kurudia Uchanguzi kwa nafasi ya Urais ambayo inasemekana mgombea wa nafasi hiyo wa NASA, Raila Odinga aliibiwa kura.