PLO Lumumba: Uchaguzi wa Rais kurudiwa Kenya.

Joined
Feb 11, 2017
Posts
43
Reaction score
112
Katika Ukurasa wake wa Twitter, PLO Lumumba ambaye amejiita Mwanasheria wa mpito (a seasoned lawyer), ametabili kuwa Uchaguzi wa Rais utarudiwa nchini Kenya.

Lumumba amesema kuwa Mahakama Kuu nchini Kenya itatoa uamuzi / ukumu ya kurudia Uchanguzi kwa nafasi ya Urais ambayo inasemekana mgombea wa nafasi hiyo wa NASA, Raila Odinga aliibiwa kura.
 
Huyo hajui sheria. NASA na Raila hawana ushahidi zaidi ya uchu na uroho wa madaraka.

Hakuna mahakama inayoweza kutengua matokeo ya Urais kwa khoja za kuna IEBC homeboy tulikuwa tunamtegemea atulindie kura akakatwa mkono na kuuliwa

Au mbona matokeo ya urais yanafanana na baadhi ya majimbo jubilee ilishinda

Au mbona Raila kaandika affidavit pages +900 na kubandika bonge la hearsay evidence ya polling stations ambazo wala hajawahi kufika wakati wa kupiga kura

Forms 34A, 34B na 34C ndizo NASA itapigwa mweleka.
 
Ngoja tusubili uamuzi wa Mahakama Kuu.
 
Atakuwa anabashiri tu.Let's wait and see.

The Great Gatsby
 
Huyu rangi yake inajulikana. Wala hanipi shida!

Kwenye uchaguzi wetu (Tanzania) alijionesha yuko upande sawa na anaousapoti sasa Kenya..!

Profesa uchwara!
 
Huyo hajui sheria. NASA na Raila hawana ushahidi zaidi ya uchu na uroho wa madaraka.

Hakuna mahakama inayoweza kutengua matokeo ya Urais kwa khoja za kuna IEBC homeboy tulikuwa tunamtegemea atulindie kura akakatwa mkono na kuuliwa

Au mbona matokeo ya urais yanafanana na baadhi ya majimbo jubilee ilishinda

Au mbona Raila kaandika affidavit pages +900 na kubandika bonge la hearsay evidence ya polling stations ambazo wala hajawahi kufika wakati wa kupiga kura

Forms 34A, 34B na 34C ndizo NASA itapigwa mweleka.

Kaka Habari yako, tuwe na akiba ya maneno, naona watu wanafukua makaburi sasa
 
Huyo hajui sheria. NASA na Raila hawana ushahidi zaidi ya uchu na uroho wa madaraka.

Hakuna mahakama inayoweza kutengua matokeo ya Urais kwa khoja za kuna IEBC homeboy tulikuwa tunamtegemea atulindie kura akakatwa mkono na kuuliwa

Au mbona matokeo ya urais yanafanana na baadhi ya majimbo jubilee ilishinda

Au mbona Raila kaandika affidavit pages +900 na kubandika bonge la hearsay evidence ya polling stations ambazo wala hajawahi kufika wakati wa kupiga kura

Forms 34A, 34B na 34C ndizo NASA itapigwa mweleka.
Mkuu, tuwege na akiba ya maneno

Lexus Mayai
 
hUYU jAMA BADO YUPO HUMU NDANI AU AMESHALEFT MUDA MREFUUUUUUU
 
Huyo hajui sheria. NASA na Raila hawana ushahidi zaidi ya uchu na uroho wa madaraka.

Hakuna mahakama inayoweza kutengua matokeo ya Urais kwa khoja za kuna IEBC homeboy tulikuwa tunamtegemea atulindie kura akakatwa mkono na kuuliwa

Au mbona matokeo ya urais yanafanana na baadhi ya majimbo jubilee ilishinda

Au mbona Raila kaandika affidavit pages +900 na kubandika bonge la hearsay evidence ya polling stations ambazo wala hajawahi kufika wakati wa kupiga kura

Forms 34A, 34B na 34C ndizo NASA itapigwa mweleka.
Pole sana mkuu kanywe maji mengi upunguze uchovu hahaaah
 
Huyo hajui sheria. NASA na Raila hawana ushahidi zaidi ya uchu na uroho wa madaraka.

Hakuna mahakama inayoweza kutengua matokeo ya Urais kwa khoja za kuna IEBC homeboy tulikuwa tunamtegemea atulindie kura akakatwa mkono na kuuliwa

Au mbona matokeo ya urais yanafanana na baadhi ya majimbo jubilee ilishinda

Au mbona Raila kaandika affidavit pages +900 na kubandika bonge la hearsay evidence ya polling stations ambazo wala hajawahi kufika wakati wa kupiga kura

Forms 34A, 34B na 34C ndizo NASA itapigwa mweleka.
Ha ha ha

Sent from my TV
 
Back
Top Bottom