The CIA
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 479
- 479
Karibu tenaHuyo hajui sheria. NASA na Raila hawana ushahidi zaidi ya uchu na uroho wa madaraka.
Hakuna mahakama inayoweza kutengua matokeo ya Urais kwa khoja za kuna IEBC homeboy tulikuwa tunamtegemea atulindie kura akakatwa mkono na kuuliwa
Au mbona matokeo ya urais yanafanana na baadhi ya majimbo jubilee ilishinda
Au mbona Raila kaandika affidavit pages +900 na kubandika bonge la hearsay evidence ya polling stations ambazo wala hajawahi kufika wakati wa kupiga kura
Forms 34A, 34B na 34C ndizo NASA itapigwa mweleka.
Sent using Jamii Forums mobile app