Plot4Sale Plot for sale/kiwanja

Plot4Sale Plot for sale/kiwanja

duke of Taliban

New Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
4
Reaction score
0
Kipo Mwanza maeneo ya national kina square meters 583 mkabala na barabara.

Kwa aliye serious nitafte kwa namba
0745522916
 
Bila bei, acha wizi wewe. Kwanza viwanja vya National, Igoma hadi Bugarika hua vinamgogoro sana hadi seeikali ilipgaga marufuku uuzaji. Mkuu, unanihakikishiaje nyumba yangu haitapigwa X?
 
Bila bei, acha wizi wewe. Kwanza viwanja vya National, Igoma hadi Bugarika hua vinamgogoro sana hadi seeikali ilipgaga marufuku uuzaji. Mkuu, unanihakikishiaje nyumba yangu haitapigwa X?
Kimeshafanyiwa documents zote upimaji, hati na mwanasheria yupo afu usimuite mtu mwizi kama huna uhakika..kama huko serious nitafute
 
Toa bei bas bob? Afu kipo kwa sehem gan pale? Ingependeza uweke tupicha tuwili tutatu
 
Back
Top Bottom