Plot4Sale Plot for sale: Tegeta Mivumoni, nyuma ya kiwanda cha Wazo hill. Sqm 1391

Plot4Sale Plot for sale: Tegeta Mivumoni, nyuma ya kiwanda cha Wazo hill. Sqm 1391

Exogenous Factor

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2015
Posts
1,401
Reaction score
2,336
Eneo linauzwa,liko Mivumoni,

Lipo takribani mita 500 kutoka barabara ya vumbi (Mivumoni-Goba njia nne),karibu na shule ya sekondari Mivumoni!

Eneo lina ukubwa wa SQM 1391. Ndani ya eneo ilo kuna nyumba ya kuishi yenye vyumba viwili vya kulala pamoja na sebule,pia kuna mabanda manne makubwa yanayoweza kutumika kwa shughuli za ufugaji.

Bei ya awali ni Tzs. 115 Milion

Bei imeshuka tena wakuu, sasa kinauzwa kwa Tzs. Milioni 90

Hati ipo.

Mawasiliano: 0654323679
Karibuni sana.
 

Attachments

  • IMG_20240902_141707.jpg
    IMG_20240902_141707.jpg
    672.5 KB · Views: 23
  • IMG_20240831_120533.jpg
    IMG_20240831_120533.jpg
    1.5 MB · Views: 21
  • IMG_20240831_120653.jpg
    IMG_20240831_120653.jpg
    4 MB · Views: 25
  • IMG_20240831_120644.jpg
    IMG_20240831_120644.jpg
    2.9 MB · Views: 23
  • IMG_20240831_120828.jpg
    IMG_20240831_120828.jpg
    2.3 MB · Views: 25
  • IMG_20240831_120833.jpg
    IMG_20240831_120833.jpg
    2.4 MB · Views: 22
  • IMG_20240831_120850.jpg
    IMG_20240831_120850.jpg
    2.1 MB · Views: 18
  • IMG_20240831_120855.jpg
    IMG_20240831_120855.jpg
    2.2 MB · Views: 21
  • VID_20240831_121024.mp4
    24 MB
  • IMG_20240902_141545.jpg
    IMG_20240902_141545.jpg
    909.9 KB · Views: 25
  • IMG_20240902_141746.jpg
    IMG_20240902_141746.jpg
    1 MB · Views: 24
Sasa ndiyo useme Tegeta Mivumoni?

Mivumoni ni moja ya Mitaa ya Kata ya Wazo, Tarafa ya Kawe, Wilaya ya Kinondoni.

Tegeta ipo Kata ya Kunduchi katika Tarafa na Wilaya tajwa.
 
Huko c kulkuaga na mgogoro na twiga cement mkuu and nafkiri walshinda kesi!!!!
Correct me if I'm wrong
 
Mali bado ipo wakuu. Muda wowote na siku yoyote utakayotaka kwenda kukiona usisite kunitafuta.
 
Cha-Simba na Cha-Chui ni wapi?
Sio karibu na huko?
Hiki kiwanja kiko njia ya kwenda Madale na sio Boko. Hivi ni viwanja vilivyopimwa na serikali na kila kitu kipo ni pamoja na shule ya sekondari ya serikali ya Mivumoni! Huku hakuna mgogoro wowote ndugu!!
 
Haya semeni wenyewe wateja wangu,kwani mnataka niwauzie kwa shilingi ngapi jamani😭🥺🥺😀😀. Mali bado ipo,mjee aseee!!
 
Matajiri wa JF,jamani mmeona matatizo yanayonisukuma kuuza hii mali yanimalize sio😓😓, karibuni asee.
 
Njoo na ofa mkuu. Tutazungumza na naamini tutaelewana.

Karibu sana.
Mimi natafuta ya kulenga mkuu...
Mitaa hiyo ukisikia eneo linauzwa kwa elfu 40 kwa SQM moja nicheki nije kuangalia nije na mshua hela mfuko wa shati..ukubwa wowote hata SQM 20000 yaani hata ziwe heka 10 na kiendelea
 
Mimi natafuta ya kulenga mkuu...
Mitaa hiyo ukisikia eneo linauzwa kwa elfu 40 kwa SQM moja nicheki nije kuangalia nije na mshua hela mfuko wa shati..ukubwa wowote hata SQM 20000 yaani hata ziwe heka 10 na kiendelea
Sawa mshua. Nikisikia ntakujuza.
 
Back
Top Bottom