Ochoa Real Estate
Member
- Sep 11, 2024
- 33
- 46
Saw
SawaSawa mshua. Nikisikia ntakujuza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaSawa mshua. Nikisikia ntakujuza.
Kila la kheri mkuu,mtu chake!Sasa ndiyo useme Tegeta Mivumoni?
Mivumoni ni moja ya Mitaa ya Kata ya Wazo, Tarafa ya Kawe, Wilaya ya Kinondoni.
Tegeta ipo Kata ya Kunduchi katika Tarafa na Wilaya tajwa.
Njoo Dodoma mkuu!Mimi natafuta ya kulenga mkuu...
Mitaa hiyo ukisikia eneo linauzwa kwa elfu 40 kwa SQM moja nicheki nije kuangalia nije na mshua hela mfuko wa shati..ukubwa wowote hata SQM 20000 yaani hata ziwe heka 10 na kiendelea
Sawa mkuu. Ukiipata karibu sana.Mie nasema hivi, Wewe uza tu, hiyo hela mimi sina.
Hayo yalikuwa ni mawazo yake mkuu, tunayaheshimu.Kuna siku nilikuwa na madalali wakaniambia sasa hivi ( utawala huu ) ela ngumu sana plot zipo nyingi zinauzwa tena bei ya kutupa lkn wateja hakuna
Nikamuambia mbna watu wanashusha sana maghirifa kkoo tena wanavunja ghorofa wanajenga ghorofa
Akajibu ahaaa sasa hivi ela wanazo wachache
Tofauti na zamani pesa alikuwa anayo kila mtu na kila mtu alikuwa anataka amiliki plot yake so plot zilikuwa adimu 7bu mtu akinunua hauzi so mapori yalikuwa yanapotea tu hamrudi nyuma plot hakuna
Mnasongo mbele
Nimekuja boss