Bosspraise
Member
- Feb 10, 2020
- 98
- 74
- Thread starter
- #61
Sawah wasiliana na mimi zaidi kiongozi kwa urahisi zaidi 0742892195
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unakimbizia sana wateja Whatsapp??Sawah wasiliana na mimi zaidi kiongozi kwa urahisi zaidi 0742892195
Unafikiria tu kutapeliwa haujafikiria inarahisha mawasiliano mazuri na mteja husika kuliko hapa whasapp ni vichochoroni...... ?Mbona unakimbizia sana wateja Whatsapp??
Weka kila hapa, huko vichochoroni ndio mwanzo wa kutapeliana.
Hata wewe unaweza kiongoziWachezaji wa Ulaya wanaweza kununua nyumba Afrika kila baada ya wiki 2
Nunua mrembo, nikija kukutembelea tupunge upepo kwa balcony850,000,000 ÷ 2,740 = 310,218.98$
TZS against USD = Value for Money
Dola laki tatu na kumi.....!
Think before making any decisions 🤔, you worth that money you earn, you worth that land you own.
Hiyo bei iko sawa kabisa, Bei za real estate Dar es Salaam ni inflated sana tofauti na uhalisia.Mh mbona kama bei iko chini? Huko Mbezi Beach eneo tupu kama hilo linaweza kuzidi 200m.
Kwa bei hio atapata mteja haraka sana.Hiyo bei iko sawa kabisa, Bei za real estate Dar es Salaam ni inflated sana tofauti na uhalisia.
Mwenye nyumba katumia eneo vizuri. Yaani ukinunua hapo unajenga nyumba ingine mbele bila kuvunja hio ya nyuma.House for sale Mbezi beach Africana
Nyumba inauzwa upande wa chini wa Africana
Nyumba ina vyumba vitatu ndani ya fence
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 700
Hati miliki ipo
Bei za nyumba hii ni 200 millions tsh tu
Contact us. +255742892195
View attachment 3130303View attachment 3130304