Sawah wasiliana na mimi zaidi kiongozi kwa urahisi zaidi 0742892195
 
Sawah wasiliana na mimi zaidi kiongozi kwa urahisi zaidi 0742892195
Mbona unakimbizia sana wateja Whatsapp??
Weka kila hapa, huko vichochoroni ndio mwanzo wa kutapeliana.
 
Mbona unakimbizia sana wateja Whatsapp??
Weka kila hapa, huko vichochoroni ndio mwanzo wa kutapeliana.
Unafikiria tu kutapeliwa haujafikiria inarahisha mawasiliano mazuri na mteja husika kuliko hapa whasapp ni vichochoroni...... ?
 
House for sale Mbezi beach Africana

Nyumba inauzwa upande wa chini wa Africana

Nyumba ina vyumba vitatu ndani ya fence

Kiwanja kina ukubwa wa sqm 700

Hati miliki ipo

Bei za nyumba hii ni 200 millions tsh tu

Contact us. +255742892195

Luxury homes for sale at Mbweni Mpiji
Total area of 1250 sqm
Tittle deed available
It has 4 bedrooms in total

price 850 millions
Contact us 0742892195

Call text whatsapp
 
Hii asubuhi tu leo itaagombaaniwa
 
850,000,000 ÷ 2,740 = 310,218.98$

TZS against USD = Value for Money

Dola laki tatu na kumi.....!

Think before making any decisions 🤔, you worth that money you earn, you worth that land you own.
 
Wachezaji wa Ulaya wanaweza kununua nyumba Afrika kila baada ya wiki 2
 
850,000,000 ÷ 2,740 = 310,218.98$

TZS against USD = Value for Money

Dola laki tatu na kumi.....!

Think before making any decisions 🤔, you worth that money you earn, you worth that land you own.
Nunua mrembo, nikija kukutembelea tupunge upepo kwa balcony
 
Mwenye nyumba katumia eneo vizuri. Yaani ukinunua hapo unajenga nyumba ingine mbele bila kuvunja hio ya nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…