Plot to assassinate Speaker Sitta

Plot to assassinate Speaker Sitta

huyu mtoa habari anajaribu kutukumbushia kifo cha E. M sokoine kwa na nama ya pekee. Ndio si hasa ni mwaka wa hesima ya wapia kura tuwe macho
 
Kuna mwingine alimwagiwa acid kwa kutembea na wake za watu, mpaka leo watu , wanadai eti kwa sababu ya kupigana na ufisadi! watu walivyoshtuka, akiulizwa leo hii anaangalia chini! kesi iliisha kiaina!

wasafishe maisha yao, sio kila kitu wahusishe na siasa!
 
If this were true (I hope it never will be), then we have a very coward "establishment" or whatever the powers that be.

What has Sita exactly done that is so special and disturbing to the status quo to the extent of being a target?

Tuelimisheni na wenzenu wajemeni
 
You should all be aware that the country is being governed by the the mafios group. whether they are holding public office or are playing behind the scene they are all one and the same thing.

Therefore beware if at all you think you can carry out your attack on one person without affecting the others.

Kwa hivyo kwa sita kushambulia baadhi ya watu kuwa ni mafisadi maana yake unaishambulia serikali nzima ya kikwete. Huwezi kumtenganisha kikwete na lowasa na rostam na chenge. ukimshambulia mmoja umeshambulia wote. Hivyo lazimz sita aelewe anpambana na watu wangapi!!!!
 
nadhani tunakuwa dismissive sana. Labda ni kwa sababu ya naivette yetu ya aina fulani hivi. Siku moja tutalipa gharama kubwa sana kwa haya..
 
Upuuzi wa kutafuta public sympathy kizembeeee...

Sokoine alifariki kwa ajali ya gari na aliyesababisha ajali yuko huru.
 
[QUOTE=Waberoya;809228]Kuna mwingine alimwagiwa acid kwa kutembea na wake za watu, mpaka leo watu , wanadai eti kwa sababu ya kupigana na ufisadi! watu walivyoshtuka, akiulizwa leo hii anaangalia chini! kesi iliisha kiaina!

wasafishe maisha yao, sio kila kitu wahusishe na siasa
![/QUOTE]

KUNA MWINGINE ANUGUA KWIKWI MWEZI WA PILI SASA...(seriously, oh mwenyezi MUNGU MPE AHUENI mzee huyu. Bado twamwihitaji mno!!) BAADA YA ILE KONGAMANO PALE .....KARIBU NA BUSTANI FLANI inayotemebelewa sana na ndege wazuri. TAUSI umesikia?
 
nadhani tunakuwa dismissive sana. Labda ni kwa sababu ya naivette yetu ya aina fulani hivi. Siku moja tutalipa gharama kubwa sana kwa haya..
Mkuu MMJJ,
Ni kweli watu wamekuwa dismissive sana kwa suala ambalo ni nyeti sana kwa usalama wa taifa.

Tumekuwa na tatizo kubwa sana hapa JF siku hizi la kutokusoma na kuelewa vema yanayoandikwa na badala yake kurukia tu na kutoa maoni yasiyofanana na yaliyoandikwa. Ukiangalia postings nyingi kwenye hii thread utafikiri aliyeiandika hii habari ni Spika Sitta mwenyewe na ndio maana wanajaribu kumshambulia as a person badala ya kujadili habari yenyewe - Umafia TZ. Watu wanashindwa kuelewa kuwa This Day wamefanya uchunguzi wao na ndio wakaandika hiki kisa.

Ningependa sana kusikia Serikali ya JK ikitoa tamko lolote kuhusu hii habari, kama kawaida, kukanusha.
 
Ni kweli watu wamekuwa dismissive sana kwa suala ambalo ni nyeti sana kwa usalama wa taifa.[/COLOR][/SIZE]Tumekuwa na tatizo kubwa sana hapa JF siku hizi la kutokusoma na kuelewa vema yanayoandikwa na badala yake kurukia tu na kutoa maoni yasiyofanana na yaliyoandikwa. Ukiangalia postings nyingi kwenye hii thread utafikiri aliyeiandika hii habari ni Spika Sitta mwenyewe na ndio maana wanajaribu kumshambulia as a person badala ya kujadili habari yenyewe - Umafia TZ.

Jaribu na hii hapa:

Mapenzi ya ulaji na kuokoa Valentine Idodomya



WAKATI watu wengi walisherehekea Valentine Day na wapendwa wao, mzee mzima nilisherehekea na kina Mbwa Mwitu aka Ewassa, Rost Time aka Kanji na washikaji wengine.
Tulikutana kwenye kijiwe cha kahawa cha mtaa wa Dodoma pale Ilala kuweka mambo sawa. Hii ni baada ya Sammy Sixx na wenzake kugeuka mwiba. Ila washikaji msikonde kwani tuliwasilimisha na kurejea mapenzi yetu ya zamani tukiwa kitu kimoja.
Kabla ya kuchonga vilivyo ngoja nikupe kidogo. Una habari mzozo huu ulinichelewesha kwenda zangu Umangani kujirusha na Shosto wangu?
Jingine, kwenye msafara wangu niliandamana na mafisadi papa wa nguvu ambao hata hivyo sikutaka watajwe zaidi ya kusema, niliandamana na wasasi ngawira kadhaa. Unajua maana ya kadhaa? Basi kama hujui kadhaa ni kadhia kwa walipa kodi wa kijiwe. Maana tulipunyua ndululu zao na kwenda kujinoma na washirika zangu. Bila usanii dunia hii huishi ukiishi utageuzwa punda na wasanii. Hayo tuyaache.
Mambo yalikuwaje? Tulivalia kijani kama alama ya kuzika tofauti zetu na kumalizia na nyekundu, alama ya mapenzi ya ulaji wetu na maafa kwa waliwaji na walevi wetu.
Wakati wengine wakienda kusambaza ukimwi, sisi tulisambaza ufisadi.
Kama siyo mzee Maneno pamoja na mzee Machale aka Mchekwa, kijiwe kingegeuka jehanamu baada ya akina Sammy Sixx kutaka kuwasulubu washirika zangu akina Mbwa Mwitu na Kanji.
Kwa vile sisi ni wanasiasia, tulisia sia mikakati na kuamuru ugomvi baina ya makundi mawili ufe vinginevyo tungewanyima jamaa nafasi za kugombea ulaji kwenye uchafuzi ujao. Upo hapo? Hii ndiyo siri ya akina Sixx kugeuka mbwa na kulamba matapishi yao.
Ile kashfa ya mkaa tuliyoibatiza Richmonduli nusu ikidedishe kigwena chetu cha UNM yaani Ugali Nyama na Maharagwe aka Chama Cha Maulaji kama wakiitavyo watani wetu.
Kuweka mambo sawa, mzee mzima niliteua kamati ya watu watatu kusuluhisha mafisadi na wasimafisadi. Nilimteua mkuu wa zamani wa kijiwe Ali Assaani Mwi..we koma we, Pio Mchekwa na Abdalaman Kiaina kusuluhisha tatange hili.
Wengi hawakustuka ni kwanini nilimchagua Pio wakati ana usongo na nongwa na Sixx. Nilimteua ili kwenda kuvuruga njama zozote za kuwawajibisha akina Mbwa Mwitu. Na ilikuwa hivyo. Kwani alifanya kazi ya kupigiwa mfano ya kuja na mapendekezo ya kuwaminya akina Sixx na hatimaye kuwageuza ndondocha wa hoja.
Kuwapata vizuri, alitumia Baibo huku Ali akitumia Al Koroani.
Najua waumini wa kweli wa dini watakuwa wanashangaa ni vipi shetani anaweza kutumia vitabu vitakatifu kulinda ushetani wake. Msishangae. Hizi ndizo siasa za kijiwe. Bila rongo rongo unafiki na hila hufiki popote.
Kama nilivyowamegea last week, Ewassa na mafisadi wenzake waliangusha pati ya kufa mtu. Mpaka tunaondoka mtaa wa Dodoma, akina Sixx walikuwa wanaonekana kama vyangudoa wa kawaida baada ya kuzimwa kama mshumaa wasifurukute. Unafanya mchezo na ulaji wa dezo? Hata hivyo walinifurahisha kitu kimoja; kusema kuwa wameamua kufyata mikia kwa kuogopa kunitia mzee mzima kwenye matatizo wasijue mie ndiye baba wa matatizo yote!
Jamaa niliwaona wajanja mwanzoni. Sikujua ni weupe kiasi cha kutojua kuwa mradi mzima wa mkaa niliuanzisha na kufaidika mimi! Au kwa vile jamaa wamelemewa na ulaji kiasi cha kutojitafutia habari na maarifa. Ukiwasikiliza wakipayuka utadhani wajanja kumbe kanjanja watupu. Viko wapi viapo vya akina Mwakiwembe kuwa kama tungeendelea kuwapuuzia wangetoboa siri? Utapeli mtupu. Nani hajui kaya hii ya wasanii na vyangu wa kisiasa?
Nakupa siri. Ingawa wameingia mkenge kuwa wakiacha uhasama watarejeshwa kwenye ulaji, nani afanye kosa hili? Hawa mambo yao kwisha. Harudi mtu wala nini. Afadhali wangekuwa wajanja siyo majuha wangeendelea na mkakati wao wa Chama Cha Jeuri ambacho tumekisambaratisha hata kabla ya kuzaliwa. Hakuna cha Chama Cha Jeuri wala Chama Cha Kupambana na ulaji wetu.
Tumewafanyia kitu mbaya baada ya wao kutaka kutufanyia kitu mbaya. Watoto wa mjini husema tumewafunga goli na sasa wana mimba za mafisadi wa kijiwe. Sie vidume ati. Kwanza tunajua kaya yetu ilivyo ya woga na wabangaizaji. wanaoendeshwa na matumbo yao badala ya vichwa hata wawe na elimu kiasi gani.
Mara hii mmewasahau wale madaktari akina Kusumbuka wa Miayo na Hasidi Kaboro! Walipojifanya wanajua huu nasi tukawaonya kuwa tunaujua ule. Tulisema beekhe! Hao wakanywea na kihoro mavi debe kama mbwa waliojaribu kuiba mafuta!
Wako wapi? Ni watoto wa watu sasa na wako kwenye kiama wametulia.
Muulize Meku wa Kilema. Siku hizi anaimba utukufu wangu baada ya kuexpire na kuishiwa. Naye kama wao analamba matapishi yake na kuyakoga kama nyoka baada ya kunyimwa miguu. Laana hiyo jamani. Laana hiyo! Imeandikwa. Kila mti utaujua kwa matunda yake.
Sisi chata kubwa bwana. Hamkusikia akinisifia kila siku utadhani yeye ni mgosi Machungi wa Makambale! Baada ya meku kupigwa na kisukari nasi tumempa sukari sasa analamba, aam! na kusahu aliyosema juzi. Unacheza na sukari nini?
Kwa kutumia sukari tumeua upinzani kiasi cha waliokuwa wapinzani kijiweni kugeuka wapambe na makada wa chama changu.
Kutokana na mapenzi ya Valentine hakuna anayefanya fyoko. Akifanya fyoko tunamwambia nyoko na kumkata mkia.
Hata akina Sammy Sixx wangefanya fyoko tungewapa talaka bila “haq tamat” kwa wanaojua kiarabu. Utampaje “haq tamat” changudoa? Hata ukimpa ni shiliingi mbili si maelfu sawa na mama mwenye kujiheshimu. Maana kwa kukubali yaishe wamejidhalilisha sawa na vyangu. Tumefanya hivyo kwa makusudi kuepuka kuchukuliwa na wapinzani wetu kijiweni.
Ukitaka kumkomesha mbwa mkate pua. Kwa tulichowafanyia hawa hata ukiwategeshea fisi bingwa wa uroho hawezi wagusa. Tumemaliza kazi na tukiingia kwenye uchafuzi tunapeta. Kwa maneno mengine hawa ndiyo wafu aliowatabiri shehe Ubwabwa.
Hakuna watu nawasikitikia kama wale waliokuwa wakiwaamini vyangu hawa. Maskini hawakujua kuwa kwenye fani ya usanii na mazingaombwe haaminiwi mtu bali ulaji! Sasa yamewakuta. Tutaona tambo na majigambo yenu yataishia wapi kama siyo kula jeuri yenu kama Chama Cha Jeuri ambacho tumekinyonga hata kabla ya kuiona mbeleko.
Tumalizie kwa kuowaonya walevi wanaoshabikia neno la God. Juzi tulimuona jamaa yetu Ka-tortoise pale Menge menge akiwashushia kibano Tanisiko. Kumbe kaya hii inaruhusu kila tapeli kujifanyia atakavyo! Haya ndiyo matokeo ya umbwe na kuendeshwa na mafisi na mafisadi. Mie simo. Ila tufikiri.
Ukija mgao wa umeme tunalalamika. Wakija mafundi tunawachapa! Mbona hatuna jema jamani? Mpaka kesho sijaamini kama tapeli wa mchana kama huyu angezuia shughuli za maendeleo kwa kaya. Ka-tortoise, elewa. Kumbi kumbi akikaribia kufa huota mbawa ili aruke na kunguru wamfanye kitoweo. Zako zahesabika ati.
Valentine Day mtaa wa Dodoma ilifana hasa kwa kuwapata wapenzi wapya akina Sammy Six na kundi lake. Walikuwa wanatubania. Sasa hawatubanii tena. Tunafaidi mavituz kama kawa. Naona gari la Sammy Sixx. Ngoja niende kuzomea na kumzodoa!
 
Hii habari ilivyokaakaa inaonekana ni imepikwa na ni usanii mtupu. media yetu imepoteza mwelekeo na hili linajidhihirisha lenyewe. hebu fatilia matoleo 10 yaliyopita ya gazeti hilo then utajionea mwenyewe
 
Wana JF, hivi ile ajali ya Mwakyembe ilisababishwa na speed au waligongwa na Gari kubwa kwa nyuma? Simpendi Sitta (Mtemi aliyejinyakulia eneo la kuzikwa yeye na ukoo wake jimbonin Urambo) lakini you can't rule out mbinu za kimafia.
 
Sitta auwawe kwa lipi? Niliwahi kumsikia na Mzee wetu Mengi akitoa malalamiko kama haya wakati ule anaanzisha ITV yake. Mzee Sitta keshashikishwa adabu kule NEC ya CCM basi. Yamekwisha.
 
By ThisDay Reporter
23rd February 2010



However, none of the four would-be assassins has been identified todate. "This is a very sensitive matter. Even if it were true, I could not discuss it with you over the telephone," RPC Zelothe stated by phone from Dodoma.

A hint; Have you heard of ''God's'' eleven commandments....????

11. You are our property.
10. Don't be a hero.
9. Secrecy is your engine.
8. Deception is your way of life
7. Fate is responsible for your acts
6. You do not exist.
5. Don't ask don't tell.
4. Nothing is what is seems.
3. Be every where, See everything, hear it all.
2. Trust no one at all.
1. Thou shalt never be caught

Kesi ya Simba unampelekea mbwa?????
 
Back
Top Bottom