Plot4sale

Plot4sale

Malisa_gb

New Member
Joined
Oct 21, 2020
Posts
1
Reaction score
0
Plot ipo barabaran kabisa
Ina hati ya kisasa
Plot imejengwa nyumba za kisasa za kupangishwa ikiwemo fremu saba za biashara.
Huduma zote za kijamii zipo ikiwemo maji na umeme
Plot ina ukubwa wa mita za mraba (sqM) 1,190
Plot inapatikana Boko Dovya along the Bagamoyo road.
Plot ni nzuri sana, tambarare na inafaa kwa matumizi mbalimbali ikiwemo sheli, car wash au shughuli nyingine yoyote ya kibiashara
Bei inaanzia Milioni 350 ila kuna maelewano
Kwa mawasiliano zaidi nicheki kupitia: 0623487391
696410a0-df3a-4715-b0c2-73609b743540.jpeg
 
Back
Top Bottom