#plotforsale Gezaulole kigamboni Ukubwa sqm 3500 Block 16 Inauzwa milion 290 Full documents #daressalaam🇹🇿 #kigamboni #tanzania #realestate

#plotforsale Gezaulole kigamboni Ukubwa sqm 3500 Block 16 Inauzwa milion 290 Full documents #daressalaam🇹🇿 #kigamboni #tanzania #realestate

Dalali_wa_kimataifa

Senior Member
Joined
Apr 16, 2025
Posts
182
Reaction score
176
#plotforsale
Gezaulole kigamboni
Ukubwa sqm 3500
Block 16
Inauzwa milion 290
Full documents


#daressalaam🇹🇿 #kigamboni #tanzania #realestate
 
Tanzania bei za vitu kama viwanja ni miongoni mwa nchi kama 10 tu hivi duniani ambapo viwanja na hata properties zingine kama nyumba ni ghali sana.

Kwa upande wa viwanja Tanzania ni nchi ambayo bado lina eneo kubwa sana la kijiografia ukilinganisha na idadi ndogo ya watu wake kwani ina takriban watu 82 tu kwa kilometa moja ya mraba.

Ukienda kwenye miji mingi ya Tanzania kama kwa mfano Mwanza unakuta katikati ya jiji eneo yaani (kanyumba kalikochokachoka hivi) kanaweza kuuzwa kirahisi tu shilingi bilioni 3 - 5....!!!!!

Na nimetolea mfano Mwannza tu lakini ukweli ni kwamba hiyo picha ndio iliyopo katika nchi nzima.

Hii tafsiri yake ni nini: tafsiri yake ni kwamba kuna udhaifu mkubwa mno kwa serikali kusimamia masuala ya kiuchumi na kifedha hali inayopelekea mfumuko wa bei kuwa juu sana pasipo na ulazima wowote na hii inaonekana imefanywa kimakusudi kabisa na watawala ili kujimilikishia mali haramu ili iwawezeshe kuendelea kutawala.

Kinachosababisha hali hii ni kwamba, kuna fedha nyingi sana labda 20% ya fedha zote ambazo zipo kwenye mzunguko uliyo rasmi ambazo zipo nje ya mzunguko halali kimakusudi kabisa zikimilikiwa na watu wachache ambao wanalindwa na mfumo unaotawala.

Ukiona watawala wanapigana kufa na kupona na kuhakikisha kwamba wanakomalia kubakia madarakani hata kwa umwagaji mkubwa wa damu ujue kwamba kuna mengi sana wanayopigania zaidi ya mnavyofikiri.

People opting to buy assets at an astronomical price i.e. well above the market value is a clear sign of the money laundering mechanism and it's often not easy to find illicitly acquired money to be deposited in any legal financial system because the source of such money emanates from criminal activity so that's why these state sponsored criminals try to legitimize their ill-gotten wealth back into the economy through legal investments hence the similar exorbitant purchases of such properties and businesses.

If the government was truly not complicit to this intrigue, it would have taken the appropriate steps long time ago like introducing new currency thus netting the culprits in possession of the huge sums of the paper money held outside the legal financial system.

Much as the current government will continue to remain in power, this scam will continue to flourish and the values of such assets will continue to unjustifiably spike despite the penury that most of the people of this country continues to face.
 
Iyo pesa nakusanya kijiji pale vikindu nakihamishia mkuranga huko
 
Back
Top Bottom