Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Lini sasa twende tukakione, si utapunguza kidogo radhiya.....Ina maana nyinyi hamjawahi kuona maeneo yanauzwa kuanzia Bilioni? Mbona ni jambo la kawaida sana jaman π
Bei zako huwa zinachekesha mpaka nahisi unafanyaga comedyπIna maana nyinyi hamjawahi kuona maeneo yanauzwa kuanzia Bilioni? Mbona ni jambo la kawaida sana jaman π
Nkimuonaga radhiya nakumbuka ule mjengo wa vingunguti.....Bei zako huwa zinachekesha mpaka nahisi unafanyaga comedyπ
Subiri niutafute ule mjengo! Najua bado haujapata mtejaπNkimuonaga radhiya nakumbuka ule mjengo wa vingunguti.....
radhiya mimi naitaka ile custom warehuse pale karibu na peninsula plaza bei inasimamia ngapi πIna maana nyinyi hamjawahi kuona maeneo yanauzwa kuanzia Bilioni? Mbona ni jambo la kawaida sana jaman π
Nipo nipo mikuu sema fanya juu chini isiwe weekend maana si unajua nikiye nae Weeknd hataki nitoke mkuuπππ
Nusu umeze ulimi πππππ€£π€£
Hiyo bei...
Astaghafirullah
only serious buyer ndo anapelekwa site visit. Wewe sio serious buyer unaleta utaniLini sasa twende tukakione, si utapunguza kidogo radhiya.....
Ali yupi boss? Niunganishe nae kama inawezekana nimshirikishe kama atakuwa interested au unipe namba yake..Kimfikie Ali hiki anakichukua fasta
Ali K for real si unamjua?Ali yupi boss? Niunganishe nae kama inawezekana nimshirikishe kama atakuwa interested au unipe namba yake..