Plots, Apartments for Sale
JF tutakuchosha wote njaa tunawatetea wamasai wa ngorongoro wenyewe hatuna makazi ya kueleweka 🤣🤣🤣🤣
 
Sifanyi comedy niko serious. Majalali wanajua hizi bei. Nyie sijui mnaishi wapi yani mnashangaa bei kiasi hiki 😀
 
Kiwanja kinauzwa.
Mahali: Chang'ombe, Temeke karibu na DUCE.
Ukubwa: Square Feet 5900=(SQM 548)
Bei: Milioni 500. Maongezi yanaruhusiwa.

Mawasiliano:
0784 829565
0767 833345
@prathlimited
 
Duce maeneo gani nyuma ya ilebyard au kwenye lile golofa au Taifa bar kwa nyuma?
 
Back
Top Bottom