salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 652
Zinapakana na Kaole Secondary na zipo mita 200 toka baharini; zina ukubwa wa sqm. 825 na bei ni Tshs 6.5 milion kila moja (unsurveyed). Pia lipo shamba Kiwangwa linafaa kwa kilimo cha nanasi bei Tshs 700,000 kwa ekari tuwasiliane kwa PM au email: plotkinyerezi @yahoo.com.