Plots bagamoyo

Plots bagamoyo

salimkabora

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
2,441
Reaction score
652
Zinapakana na Kaole Secondary na zipo mita 200 toka baharini; zina ukubwa wa sqm. 825 na bei ni Tshs 6.5 milion kila moja (unsurveyed). Pia lipo shamba Kiwangwa linafaa kwa kilimo cha nanasi bei Tshs 700,000 kwa ekari tuwasiliane kwa PM au email: plotkinyerezi @yahoo.com.
 
Natafuta mashamba bagamoyo ikiwezekana na viwanja. Wadau naombeni mnijulishe maeneo mazuri kule bagamoyo ili ikiwezekana nifanye biashara na huyu aliyeanzisha huu uzi.
 
Back
Top Bottom