Plot4Sale plots/viwanja vinauzwa

Plot4Sale plots/viwanja vinauzwa

tajirisana

Member
Joined
Sep 29, 2010
Posts
83
Reaction score
22
1.kipo kerege umbali wa kilometa2 toka barabarani 3/4acre documents zipo
2.kipo mapinga vikawe 20x20 karibu na barabara
3.kipo mapinga barabarani ukubwa 1.5acre hati zipo
4.kipo mbweni karibu na baharini ukubwa 6000sqm.documents zipo
5.kipo bahari beach karibu na baharini ukubwa 4368 sqm.hati ipo
6.kipo mwenge karibu na mlimani city ukubwa 445sqm.hati ipo
7.kipo makongo juu kina nyumba ya vyumba 3.hati zipo eneo 400sqm
8.kipo mbezi mwisho baada kituo cha basi.700sqm.hati zipo
9.kipo luguluni njia ya kwenda mbezi mwisho ekari1
10.kipo kigamboni 4 acre kimepumwa hati zipo
10,kipo kigambani 4 acre hakijapimwa
11.kipo kigamboni 1 acre karibu na baharini.kimepimwa
bei maelewano.hati zipi
 
mnunuzi anaselect anachotaka tunaanza kuwasiliana wewe usiyeviitaji endelea na shughuli nyingine
 
Cha kerege na mapinga ni Tsh ngapi na unapima kwa ngapi kwa ngapi(vipimo)
 
tangazo halijakaa katika mpangilio unatakiwa kwani limekuwa refu lisiloeleweka
halioneshi bei wala ujatuwekea picha tukaona siku hizi wannunuzi wengi wanaaka kuona kitu ndipo walidhike na kununuwe
 
cha kerege 25m cha mapinga 20x20 10M, ukubwa cha kerege 3/4 ekari yaani imepungua robo kufika ekari1
 
Hicho cha mbezi mwisho na hicho cha luguruni bei gani?
 
cha mbezi mwisho 80m hati ipo ya 99yrs cha luguruni 25m hakijapimwa maelewano yapo pia
 
wewe sio mnunuzi waachie wanunuzi nifanyenao biashara biashara ya mwingine haiwezi wewe kuipangia bei
 
Back
Top Bottom