Pls "tigo"stop this stupidity

Pls "tigo"stop this stupidity

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Tafadhali tafadhali kama nilivyowaandikia barua naommba muwache kututumia msg za kipuuzi usiku wamanane na kuamsha hisia za wapenzi wetu..si wote tunaozima simu lakn ikilazimika tunaweza ...sion umhimu wa kuntumia saa sita na nusu juzi majuzi tena ""ni rahisi sana kupata tkt toka tigo tuma mia kwenda 15509 ...""stupid atuitaj tkt za kimapepo tutanunua wenyewe natumain wewe wa marketing tigo utatusaidia kwa hili

pls and pls stop that stupidity
 
Afadhali mngetuma hata jana tukisikilizia kama mabomu yatafika nyumban lkn mnachofanya si ustaarabu na kama umetuma mwezi mtu atumii hityo huduma unamlazimisha wa nini ama ndio over marketing hiyo??mmh
 
Nami zinanikera sana, personally I've never subscribed inti these damn sms' but these tiGO guys keep on smsing me these sms over and over. Hadi kuna nakuwa na mawazo ya kutafuta line nyingine...... Japo ni matangazo lkn ni ujinga wa kiwango cha juu kwa kumtumia mtu asie-interested na hayo matangazo. Watupe nafasi ya kuyakubali au kuyakataa...... They really have to stop.....
 
Wezi wakubwa hao Tigo, wana fikra ya kuanzisha promesheni halafu zawadi wanapeana wenyewe kwa wenyewe,
 
Tafadhali tafadhali kama nilivyowaandikia barua naommba muwache kututumia msg za kipuuzi usiku wamanane na kuamsha hisia za wapenzi wetu..si wote tunaozima simu lakn ikilazimika tunaweza ...sion umhimu wa kuntumia saa sita na nusu juzi majuzi tena ""ni rahisi sana kupata tkt toka tigo tuma mia kwenda 15509 ...""stupid atuitaj tkt za kimapepo tutanunua wenyewe natumain wewe wa marketing tigo utatusaidia kwa hili

pls and pls stop that stupidity


......this is real,,,,wameidizi kutusumbua!!!
 
UKWELI MNAKERA MTATUFANYA TUWAHAME KAMA HATACHUKUA HATUA YA KUZUAIA HIZI MSG. Jamani TCRA mnatuambia nini kuhusu haki yetu against unsolicited messages?
 
i real hate jamani embu igeni ustarabu wa mitandao mingine wanavyofanya promosheni zao, tigo mpaka usiku mnatuma sms mnashtua watu na kusumbua please mimi sihitaji hiyo huduma yenu ila sms kila saa , hiyo huduma ndio ilinifanya nisingie na extrem mana ukujiunga tuu kosa sms kila mara
 
kweli tigo mnaboaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!, mnatulazimisha kusoma msg zenu, mbona hamtupi credit za bure?
 
yani niko kwa hii post ikaingia msg kuisoma kumbe ni wao, yani hawa ni %§€€£¥§$§% sana
 
mimi nilisharipoti mara kadhaa kuhusu sms za habari, ratiba na matokeo ya michezo hasa EPL na LA LIGA waziondoe lakini hawanisikilizi kabisaaaaaa! Nimeshaenda kwenye karibu ofisi zao (Mlimani City, Gerezani, Nyerere Road na Habour's Tower) zote kulalamika jambo hili, wananiahidi wataziondoa, lakini hawafanyi hivyo. Kibaya zaidi wakati mwingine wananiletea matokeo ambayo tayari nayafahamu (yaani hata ya siku iliyotangulia), pia zinaweza kuingia sms 2 (yaani page 2), ila ya pil inakuwa ina neno au herufi moja tu au empty sms. Mara nyingi zinatoka kwenye namba hizi:1577150 na 15770, zaidi ya yote wananikata hadi shilingi 300 kwa sms moja! Yaani jamaa ni wezi sana!
 
Back
Top Bottom