Mkuu tuambie vizuri gari yako ilianza vipi kusumbua Hadi ukagundua tatizo ni plug? Mimi nataka nipate elimu kidogo na uzoefu kutoka kwako ili siku nyingine nikipata tatizo kama lako nisisumbuke
N,B
Jaribu kupata mawasiliano na huyu jamaa
JituMirabaMinne anauza plug original na atakutumia Hadi Huko mbeya kumbuka huyu ni mtaalamu wa UMEME wa magari atakusaidia