Pluribus Anum, coin ya dollar ya Marekani yenye vituko vingi, je nini sababu yake kuweka emage hizi?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Duniani kuna mambo Sana, watu wengi wakiangalia mambo yanavyokwenda sasa hivi huwa wanaamini kuwa dunia sasa imekwisha.

Sasa Mimi ngoja niwaeleze dunia ndio Kwanza inaanza, utakwisha wewe tu.

Je unazijuwa sarafu za dollar ya Marekani prulibus unum ambayo ndio Motto wa Marekani kwenye National seal zilikuwa zikoje?

prulibus unum ni neno la Kilatini maana yake Kwa kingereza ni " Out of many"

Kwa sababu ya JF hawawezi kuelewa haraka naudhui ya post yangu nitaweka coin moja tu ya Prulibus unum coin zenye vituko zaidi ingia Google prulibus unum coin utaona emage nyingi za kushangaza na utajiuliza Kati ya kizazi hiki na kizazi kilichopita ni kipi kimepinda?

Hizo ni pesa halali za sarafu ya dollar ya Marekani zilizokuwa zinatumika kwahiyo hakuna matusi hapo.

Cc: Bujibuji Simba Nyamaume
 
Attachments

  • FB_IMG_1713153165640.jpg
    FB_IMG_1713153165640.jpg
    9.8 KB · Views: 14
  • FB_IMG_1713153035131.jpg
    FB_IMG_1713153035131.jpg
    52 KB · Views: 13
Yaani Hawa Wametisha Mwaka 1880 Huku Utinduaji Ulikuwa Mkali Mpaka Ukawepewa Heshima
Mkuu naogopa tu kutupia coin zaidi za Prulibus nenda Google ukajionee mambo.

Dunia ya leo iliyojaa wanafki nikizusha hapa watu watajiona wao ndio wenye maadili kumbe chombo kikubwa kama Google zipo kwenye kumbukumbu muhimu.
 
Zamani kupata tu hiyo coin ilikuwa ngumu mno na ni kwa matajiri wakubwa tu. Hivyo hizo picha zilikuwa zinawamotivate watafute pesa tofauti na huku kwetu. Mara picha ya nyoka mara nyati. kiujumla hakuna motivation kabisaaa ndo maana vijana tunakufa maskini.
 
Duniani kuna mambo Sana, watu wengi wakiangalia mambo yanavyokwenda sasa hivi huwa wanaamini kuwa dunia sasa imekwisha.

Sasa Mimi ngoja niwaeleze dunia ndio Kwanza inaanza, utakwisha wewe tu.

Je unazijuwa sarafu za dollar ya Marekani prulibus unum ambayo ndio Motto wa Marekani kwenye National seal zilikuwa zikoje?

prulibus unum ni neno la Kilatini maana yake Kwa kingereza ni " Out of many"

Kwa sababu ya JF hawawezi kuelewa haraka naudhui ya post yangu nitaweka coin moja tu ya Prulibus unum coin zenye vituko zaidi ingia Google prulibus unum coin utaona emage nyingi za kushangaza na utajiuliza Kati ya kizazi hiki na kizazi kilichopita ni kipi kimepinda?

Hizo ni pesa halali za sarafu ya dollar ya Marekani zilizokuwa zinatumika kwahiyo hakuna matusi hapo.

Cc: Bujibuji Simba Nyamaume
Pesa ya tko babake......Dunia imeisha hiii
 
Back
Top Bottom