Pluribus Anum, coin ya dollar ya Marekani yenye vituko vingi, je nini sababu yake kuweka emage hizi?

Ngoja nikatafute sabuni nione nyeto ya Hela ilivyotamu,Hadi wenye tako wamo.
 
Ukiangalia hizi coins asee lazima udise.
 
Bado na wewe huelewi dunia hii kilichoandikwa ni In pluribus unum ikimaanisha in diversity there’s unity. Unajua kwanini unavaa raba wewe?
 
Bado na wewe huelewi dunia hii kilichoandikwa ni In pluribus unum ikimaanisha in diversity there’s unity. Unajua kwanini unavaa raba wewe?
Haya msomi, wewe na Google nani Kiboko?
 
Attachments

  • Screenshot_2024-04-15-11-32-41-31.png
    206.6 KB · Views: 4
Out of many, one ni literal translation. Tafsiri nzuri ni in diversity there’s unity/oness.
Ok msomi, unawakosowa mpaka wenye lugha yao? Wabongo mmeshindikana.

By the way nikusaidie nini labda kwenye hii thread maana sielewi hoja yako ni nini?
 
Out of many, one ni literal translation. Tafsiri nzuri ni in diversity there’s unity/oness.
Sasa Mimi nakutafsiria kutoka Kilatini kuja Kwa Kiswahili moja Kwa moja.

Maana ya "Pluribus unum" Kwa Kiswahili tafsiri yake ni Mtawala wa wote.
 
Nimeenda google kuzicheki...
Zimenitia tu nyegge.
Raha ya nyege ni kunyegezana, ukiwa unaenda kuangalia peke yako huko google angalia upande mmoja tu wa hiyo coin ya Prulibus unum, usigeuze upande wa pili.
 
Attachments

  • 606307abd54328.82673175-original.jpg
    818 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…