Pluribus Anum, coin ya dollar ya Marekani yenye vituko vingi, je nini sababu yake kuweka emage hizi?

Hawa watu ni ma agent wa shetani
 
Unatulisha matango pori. Hizo zenye picha za utupu na zenye kuashiria hitaji lako zilikuwa safari ya Dola ya Rumi. Siyo za Amarekani. hata hivyo tunashukuru kwa kutuletea hii kitu adimu na kutukumbusha kwamba hakuna jipya duniani.
 
Unajichanganya, usidhani Mimi ni Dr Magumashi.

E. Prulibus unum ilianzia na Dola ya Rumi na hayo ni maneno ya Kilatini.

Sasa kama akili zako ziko Sawa angalia USA seal motto wao wameandikaje?
 
Attachments

  • FB_IMG_1713154443492.jpg
    70.4 KB · Views: 5
  • FB_IMG_1713153165640.jpg
    9.8 KB · Views: 4
Mkuu naogopa tu kutupia coin zaidi za Prulibus nenda Google ukajionee mambo.

Dunia ya leo iliyojaa wanafki nikizusha hapa watu watajiona wao ndio wenye maadili kumbe chombo kikubwa kama Google zipo kwenye kumbukumbu muhimu.
Ni kweli kuna coin ukizicheki ukaziweka humu ni balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…