plz plz naomba msaada kwa wale watalamu wa hili

One Man Army

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2011
Posts
236
Reaction score
34
wakuu mimi nina girl frend wangu ambaye alikuwa virgin na mpka sahv nimefanya naye mapenzi mara 5.tatizo ni kwamba mara zote 5 amekuwa akitokwa na damu kwenye uke wakati wa lile tendo na mara nyingne inakuwa nyingi sana,mwanzo nilijua ni sababu ya virgin lakini sahv naona its too much yan hata hamu ya kuwa nae karibu imepungua...wakuu plz naombeni msaada wenu je shida ni nin hapa na nin nifanye...
 
ana miaka mingap?
pole kaka

ngoja madaktar watakujuza mi apana jua
 
Unamuumiza Tu mtoto wa watu


Humwandai vya kutosha na Unadhani hiyo miguvu yako unayotumia anafurahia kumbe wapi.


Kuwa mmbunifu ili na mwenzako afurahie mchezo
 
atakuwa anamatatizo kwa ivo nenda hospital sawa kijana..
 
Nenda wakakuvishe pete, unamvunja mwenzio kizazi!
 
Unamuumiza Tu mtoto wa watu


Humwandai vya kutosha na Unadhani hiyo miguvu yako unayotumia anafurahia kumbe wapi.


Kuwa mmbunifu ili na mwenzako afurahie mchezo

yani mkuu mimi huwa natumia zaidi ya dakika 15 mpka nihakikishe yale maji maji yamekuwa mengi lakini tatizo ni lile lile.
 
ana miaka mingap?
pole kaka
yeah truu dats ishu ni huyo duu ana nyundo ngapi i mean ana miaka mingapi en ishu ya msingi fanya kusheki na profeshino ma ishu hzo i mean doctaz thats bro en usije kumtema huyo manzi atajickia vbaya knaz
 
.....
ila na wewe ulikuwa bikira???labda hujui jinsi ya kumuandaa mwenzio...jifunze maujuzi ila damu ya michubuko sidhani kama ni nyingi,nenda kwa daktari wa wanawake atakuwa na tatizo huyo....
 
We unataka usaidiwe nini?
Unafanya zinaa na kibinti cha watu? Muogope mungu kwa uchafu wa zinaa!
Ukimwi,kaswende nk vinakunyemelea watch out!
Ushauri wangu kwako fuata utaratibu unaokubalika na uende mukamuone doctor kwa hilo!.
 
mwambie aende hospitali.mambo ya ku bleed wakati wa sex or after sex sio kitu kizuri kabisa.pengine ana tatizo kwenye kizazi.bikira hiyo,siku 5 zote uwe una bleed.mmh sijui
 
Aaaa we usibabaike hata mimi niliwahi kuja na thread kama hii kuna mademu wako wanama hio, afu watamu we wacha tu.


Huyo we mtazama vizuri hata K yake inakuwa kama ina vaseline vile, yani wewe unatereza tu...afu vi K vyao vidogo sana :A S thumbs_up:
 

yan hujakosea kitu
 
Inawezekana si bikira, kwa sababu anavuja damu ukaamini ni bikira hilo ni tatizo msaidie mwenzi wako wahi kwa daktari uume wako u size gani, jaribu kupima kwani urefu wa kawaida ni inchi 7.
 
duuuuuuuuhhhh........ Huyu labda ana ishu ndogo xana... Au jaribu kubonga naye kama vp mkamwone daktari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…