One Man Army
JF-Expert Member
- Dec 27, 2011
- 236
- 34
wakuu mimi nina girl frend wangu ambaye alikuwa virgin na mpka sahv nimefanya naye mapenzi mara 5.tatizo ni kwamba mara zote 5 amekuwa akitokwa na damu kwenye uke wakati wa lile tendo na mara nyingne inakuwa nyingi sana,mwanzo nilijua ni sababu ya virgin lakini sahv naona its too much yan hata hamu ya kuwa nae karibu imepungua...wakuu plz naombeni msaada wenu je shida ni nin hapa na nin nifanye...